Mpenzi wangu ana kiburi

Mpenzi wangu ana kiburi

mayonise

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
259
Reaction score
50
Habari wana JF MMU.

Nina girlfriend wangu takribani mwaka na miezi kadhaa niko naye.

Tatizo kubwa alilo nalo ni kiburi ambacho tangu niyajue mapenzi sijawahi kuona,hanisikilizi kwa chochote kile.

Kwa muda wote huo nimemvumilia sana na kwa upole wangu na busara nilizotumia kumrekebisha nilidhani angebadilika lakini wapi.

Nilishamuonya sana swala hili na yeye kuwasiliana na X wake akasema ataacha but still naona anaendelea ingawa siyo mawasiliano mabaya lakini ninahisi watazoeana tena na kuanza kukumbushia waliyokuwa wanafanya.

Hivi ni lazima uwe na mawasiliano na X wako?

Nahisi moyo wangu umeanza kukata tamaa juu yake.
 
nadhani x wake alimwachia kovu ambalo halijaisha nafsini mwake
 
Mwanamke mwenye akili timamu huhitaji kumueleza umuhimu na sababu ya kutowasiliana na X,sasa huyu wako ulimlazimisha kabisa lakini bado hakuelewa.Mimi shemeji yako ni Mnyakyusa ila wa Tukuyu,wanyakyusa wa Kyela ndio inasemekana wana matatizo na viburi.Huyu wangu yeye mwenyewe kwa nafsi yake na upeo wake aliamua kuacha mawasiliano na rafiki zake wote wa kiume(hapa nisisitize kuwa ni marafiki zake sio X zake which means angekuwa X ndio kabisaaa wala asingekuwa hata na hamu ya kuwasiliana naye) baada ya kuanza naye uhusiano rasmi.

Sasa hapo amua mwenyewe kusuka au kunyoa
 
Wanyakyusa wana misimamo mikali hawayumbishwi na mtu yeyote katika jambo analolisimamia kama anaona lina maslahi kwake ama kwa Taifa.
Kwa hilo la X wake ni siri yenu inawezekana kuna mambo yako umeyaficha hapa yaliyomfanya mpaka amkumbuke. May be unamhandle vibaya.
 
Mmmnnnhhhh

Kwahiyo kama mtu ana kuhandle vibaya suluhisho ni kwenda kwa X? Kuwa na msimamo ni jambo jema ila kuwa na msimamo kwenye vitu vya kipuuzi ni upuuzi mara mbili.
 
Asingekuwa anakusiliza kwa lolote asingekukubalia muwe wapenzi... punguza wivu
 
mhm wee nae bana ebu acha kulalamika. huyo hafai ila usimuache...endelea kumgegeda tuu huku unatafuta wa kukufaa wewe.

Yaani mzabzab umechochea ngono uzembe hivi hivi eti aendelee kumg......... ooophhsss!!!
 
Last edited by a moderator:
Jukumu la kumfanya amsahau x wake ni lako mzee...ongeza ufund na vhandle.... mkunje kwelikweli atanyooka tu
 
Kwahiyo kama mtu ana kuhandle vibaya suluhisho ni kwenda kwa X? Kuwa na msimamo ni jambo jema ila kuwa na msimamo kwenye vitu vya kipuuzi ni upuuzi mara mbili.

Kumhandle vibaya mpenzi wako ni upuuzi mara 100 ndo maana anatukumbuka ma X wake. Usilielie hapa umeharibu mwenyewe acha tukusaidie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom