Mpenzi wangu amepoteza mvuto

Mkuu acha hizo umemchafua mtoto wa watu alafu Leo unajifanya mwili umechange daaa Kuna wengine hukumu zenu itakuwa ni kuchomwa na mkaa wa mpingo dadek
 
Heshima kwenu washikadau

Nina mpenzi wangu ambae tupo kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, huyu binti wakati naanza nae mahusiano alikua na mwili ambao ni standard lakini kwa siku za hivi karibuni amekua tukunyema sababu ya kupenda kufakamia misosi.

Yani huwa haipiti siku bila kunitumia picha za misosi anayokula pindi tunapowasiliana kupitia WhatsApp tena kibaya zaidi ni vile vyakula kunenepesha mwili.

Nimejaribu kumshauri kwamba awe anakula na vyakula vya aina flani ili mwili usifutuke kiasi cha kupoteza mvuto lakini wapi, huwa anasikiliza lakini baada ya siku mbili anarudia yaleyale.

Imefikia hatua mpaka nataka kumuacha mana naona kama anapoelekea itafikia hatua nitashindwa hata kuongozana nae.

Kuna yeyote humu amewahi kutana na changamoto kama hii na je aliitatua vipi katika kunusuru mahusiano?

View attachment 1802845
Yaani wee kunguru baada ya kumtumia mtoto wa watu takribani mwaka mmoja na nusu eti leo hii unataka kumuacha kisa yee ameanza kuwa bonge

Haki ya nani kuna watu wanajua kuchezea watoto wa watu
 
Mwambie vile unapenda awe na umsaidie/shirikiana nae kwenye kila hatua za kumfanya vile unataka awe.

Alafu acha utoto wa kuingia kwenye mahusiano ili kufurahisha watu, utashindwaje kuongozana na mpenzi wako kisa unene? Kwan atakuwa anakubana njiani?
 
Mtu anayewadanganya wanawake zetu kuwa wakinenepeana wakawa na manyamanyama ndo wanakuwa wazuri hakika apigwe risasi hadharani

Naona siku hizi imekuwa fashion na wanajiamini kbs mixer kudharau wenzao huko mitandaoni.

Itoshe kusema kila mtu na chaguo lake
 
Mi niliilisolve tatzo hili kwa kuwagawia namba ya simu wadau ili kunisaidia kazi ya kumkondesha
 
Heshima kwenu washikadau

Nina mpenzi wangu ambae tupo kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, huyu binti wakati naanza nae mahusiano alikua na mwili ambao ni standard lakini kwa siku za hivi karibuni amekua tukunyema sababu ya kupenda kufakamia misosi.

Yani huwa haipiti siku bila kunitumia picha za misosi anayokula pindi tunapowasiliana kupitia WhatsApp tena kibaya zaidi ni vile vyakula kunenepesha mwili.

Nimejaribu kumshauri kwamba awe anakula na vyakula vya aina flani ili mwili usifutuke kiasi cha kupoteza mvuto lakini wapi, huwa anasikiliza lakini baada ya siku mbili anarudia yaleyale.

Imefikia hatua mpaka nataka kumuacha mana naona kama anapoelekea itafikia hatua nitashindwa hata kuongozana nae.

Kuna yeyote humu amewahi kutana na changamoto kama hii na je aliitatua vipi katika kunusuru mahusiano?

Internet never die,Njoo usome hii post yako after two years utapata majibu kupitia wewe mwenyewe! Kwa ushauri pia,jitahidi ukue mentality
 
Back
Top Bottom