Mpenzi wangu amepewa mimba na mtu mwingine

Mpenzi wangu amepewa mimba na mtu mwingine

Utashangaa mtu anaesema umri wa kuoa umefika kumbe ana 23 dah!panda ngazi unazoziweza
 
Lakini sisi tunaotaka tuoe tuna mitihani sana inafika time unakata tamaa kabisa.wanasema mapenzi pesa lakini sisi wengine pesa tumezipata lakini tunatafuta wake kwenye mapenzi ya kweli.kama ukiwa na hela mapenzi ya kweli hayapatikani hata hela yenyewe huna furaha nayo.

wacha weeee.... mkuu haupo sirias.. labda unapesa hizi za kubadilishia mboga na sio magari..

ukiwa na pesa huwezi kosa mapenzi ya kweli ya kununua...
 
umepatwa na yote haya na wala huonyeshi kusikitika.
Vijana mmeshakuwa sugu!
 
Nipo chaputa na hela zangu,wanawake hawaeleki,ukikosa wanakupa,ukipata hela hupati mwenye mapenzi ya kweli.ni shida

N
Tatizo lako unajionyesha kesi kua una hela kwa hiyo uanaishia kuwapata maopportunists tu.
 
Hahahah chief unaniabisha mlongo wangu ushauri wangu tafuta pesa kwanza
 
Back
Top Bottom