Mpenzi wangu amepewa mimba na mtu mwingine

hapo pangusa vumbi endelea na msako wa kumsaka mkee...

pia epuka vibinti vidogo tafuta matured...

Lakini sisi tunaotaka tuoe tuna mitihani sana inafika time unakata tamaa kabisa.wanasema mapenzi pesa lakini sisi wengine pesa tumezipata lakini tunatafuta wake kwenye mapenzi ya kweli.kama ukiwa na hela mapenzi ya kweli hayapatikani hata hela yenyewe huna furaha nayo.
 
Mkuu, hebu tuungane pamoja kutafuta wanaotufaa maana hata mimi nina hako kaugonjwa, kila nikimtongoza mwanamke nataka anipe siku hiyohiyo na ikizidi sana ni ndani ya siku mbili ama tatu.
 
Hiki kiswahili ,sasa mtaungana vipi pamoja ? Au unataka kua Wingman wake ??
 
kwa tabia za mabinti wa siku hz, ukianza nae mahusiano ikafka wiki moja hujamgusa kaka hapo wajanja watakusaidia tu taka, usitake. mm nafkir dunia ya sasa imebadilika hebu na sisi tujtahdi kwnda sambamba na mabadliko hayo, binti unaishi nae zaidi ya mwaka humgusi, ili ugundue nn wakati akna Newton walishamalza kila k2?
 
Hiyo ndo dawa yao ww tafuna tuu lisha pumba mixer dagaa mpige sopsop week tatu kula nyama km kuku wakizungu akinona wakuoa atatokea tuu.
kwaiyo mkuu una mshauli atafune to maana akuna namna
 
Kwa kifupi nilikuwa na kidemu changu na kilikuwa mwaka wa mwisho kumaliza,tangu tuanze uhusiano ilikuwa kama miezi 8 amalize.Sasa kosa nililofanya ni kumsubiria amalize Shule ndiyo nimle,laaahaula kumbe kuna mwenzangu anamla mapema,kuja kustuka kademu kamemaliza baada ya wiki naenda kwao nijitambulishe naulizwa wewe ndiyo uliyempa mimba??nikauliza ya miezi mingapi??Naambiwa mitatu.Nikajibu mbona Mimi sijawahi kufanya naye tendo la ndoa maana nilikuwa namsubiria amalize Shule kisha nije nijitambulishe ndiyo mambo mengine yaendelee.Nikaulizwa kwa hiyo tukusaidieje,nikajibu naona labda Mimi nilikuwa mlezi na siyo mpenzi kwake.
Msaada ni kwamba kila nikitongoza msichana naomba gemu fasta,tatizo akikataa tu najua ndiyo wale wale navunja mahusiano,na umri wa kuoa umeshafika na nahisi nikiendelea na hii tabia sitaoa.Msaada hapo.
hahahaaa,, Mpange deMu deMu unaye dhani anakufaa,, yeMa niseheMu tu ya penzi kuBwa ni MakuBaliano na kuheshiMiana,,!
 
Kwa kifupi nilikuwa na kidemu changu na kilikuwa mwaka wa mwisho kumaliza,tangu tuanze uhusiano ilikuwa kama miezi 8 amalize.Sasa kosa nililofanya ni kumsubiria amalize Shule ndiyo nimle,laaahaula kumbe kuna mwenzangu anamla mapema,kuja kustuka kademu kamemaliza baada ya wiki naenda kwao nijitambulishe naulizwa wewe ndiyo uliyempa mimba??nikauliza ya miezi mingapi??Naambiwa mitatu.Nikajibu mbona Mimi sijawahi kufanya naye tendo la ndoa maana nilikuwa namsubiria amalize Shule kisha nije nijitambulishe ndiyo mambo mengine yaendelee.Nikaulizwa kwa hiyo tukusaidieje,nikajibu naona labda Mimi nilikuwa mlezi na siyo mpenzi kwake.
Msaada ni kwamba kila nikitongoza msichana naomba gemu fasta,tatizo akikataa tu najua ndiyo wale wale navunja mahusiano,na umri wa kuoa umeshafika na nahisi nikiendelea na hii tabia sitaoa.Msaada hapo.
uliliambiwa utafune ukakaidi utatafuniwa to maana akuna namna
 
Back
Top Bottom