Mpenzi wangu amenitenda baada ya kujiunga chuo

Mpenzi wangu amenitenda baada ya kujiunga chuo

Mie nakushauri achana naye Bora amekuonesha makucha yake mapema hiyo ndo tabia yake hafai kuwa mke mwema. Utampata mke mzuri zaidi ya huyo.
Asante sana kwa ushauri, nitaachana naye nikiona nimetumia njia zote na kushindwa.
 
"....Falling in love is like jumping off a really tall building. Your brain tells you it is not a good idea, but your heart tells you, you can fly...."
 
Sina swaga za kizee wala sio bishoo,nipo neutral. Kuhusu kuwa JOMBI hilo haliepukiki kwa wadada wa Tanzania maana hata waume za watu wajombi.Hata wewe hapo ulipo kuna mtu umemfanya Jombi.
Jombi ndo mdudu gani tena?
 
mke wa mtu tu anavuliwa chupi na ana kazi yako sembuse huyo ngedere wako.chuo noma asee.fanya mengine tuu bro
 
Ww jamaa mbinafsi sana yani unataka ule mwenyewe tu!! waachie na wenzako wale nawao wananjaa kama yako.
 
Habari wanajamvi,

Nina mpenzi ambaye nilianza mahusiano naye wakati yeye yupo kidato cha Sita shule moja huko Bukoba.

Binti ni Mnyarwanda, kiukweli ni mzuri sana ukicheki nyoro inakuita.

Tulipendana sana na tulikuwa tukiongea kila siku jioni,pia nilikuwa nikiongea na marafiki zake sana,mimi nilikuwa Dar na yeye Bukoba.Nilifarijika nikajua ndoto ya kuoa mnyarwanda inatimia.Pesa ndogo ndogo za matumizi nilikuwa nampatia.Ilifika hatua hadi DP ya facebook akaweka picha yangu.

Alimaliza kidato cha sita na kujiunga UDSM kusomea sheria.

Miezi ya kwanza ya chuo mapenzi yalikuwa matamu na ndipo tukapata hata muda wa kula tunda la peponi.Mara ya kwanza sikutaka kumgegeda sababu alikuwa analindwa na sheria ya wanafunzi.

Hali ilibadilika baada ya kuzoea chuo na jiji,mtoto akawa hakamatiki,mapenzi akapunguza,mawasiliano akapunguza.

Facebook na Instagram akawa anaweka picha anakula bata na matozi na friends zake,picha wanazoweka ni za kuonesha makalio yalivyoumbika,ukweli kama kalio analo tena halisi.

Niliumia sana ukizingatia nilimpenda sana,nilipoteza muda wangu kwake lakini sasa hauthamini.

Kilichosababisha niandike uzi huu ni kuomba ushauri nifanye jambo gani niweze kumrudisha kwenye himaya yangu,ukweli nimemiss mapenzi yake,nakiri bado nampenda sana.

Basi hata nikishindwa kumrejesha basi nimshauri kuwa anapotea kwa mambo anayofanya, labda atanikumbuka kwa hilo.

Ushauri wenu ni muhimu wanaMMU.
Umesema mnyarwanda sio? A-ha pole Sana, tafuta pesa kwanza halafu sogeza mnyarwanda mwingine.
 
Mkuu pole sana jaribu kumsahau tu mana sio wewe tu kuna room mate Wangu APA nae yamemkuta hayo hayo sjui uko Tanzania kuna nini kama ni mliman ata hapa uluguru upo mlima
 
Back
Top Bottom