Mpenzi wangu amenitenda baada ya kujiunga chuo

Mpenzi wangu amenitenda baada ya kujiunga chuo

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,163
Reaction score
11,230
Habari wanajamvi,

Nina mpenzi ambaye nilianza mahusiano naye wakati yeye yupo kidato cha Sita shule moja huko Bukoba.

Binti ni Mnyarwanda, kiukweli ni mzuri sana ukicheki nyoro inakuita.

Tulipendana sana na tulikuwa tukiongea kila siku jioni,pia nilikuwa nikiongea na marafiki zake sana,mimi nilikuwa Dar na yeye Bukoba.Nilifarijika nikajua ndoto ya kuoa mnyarwanda inatimia.Pesa ndogo ndogo za matumizi nilikuwa nampatia.Ilifika hatua hadi DP ya facebook akaweka picha yangu.

Alimaliza kidato cha sita na kujiunga UDSM kusomea sheria.

Miezi ya kwanza ya chuo mapenzi yalikuwa matamu na ndipo tukapata hata muda wa kula tunda la peponi.Mara ya kwanza sikutaka kumgegeda sababu alikuwa analindwa na sheria ya wanafunzi.

Hali ilibadilika baada ya kuzoea chuo na jiji,mtoto akawa hakamatiki,mapenzi akapunguza,mawasiliano akapunguza.

Facebook na Instagram akawa anaweka picha anakula bata na matozi na friends zake,picha wanazoweka ni za kuonesha makalio yalivyoumbika,ukweli kama kalio analo tena halisi.

Niliumia sana ukizingatia nilimpenda sana,nilipoteza muda wangu kwake lakini sasa hauthamini.

Kilichosababisha niandike uzi huu ni kuomba ushauri nifanye jambo gani niweze kumrudisha kwenye himaya yangu,ukweli nimemiss mapenzi yake,nakiri bado nampenda sana.

Basi hata nikishindwa kumrejesha basi nimshauri kuwa anapotea kwa mambo anayofanya, labda atanikumbuka kwa hilo.

Ushauri wenu ni muhimu wanaMMU.
 
Pole,ila hujaeleza ulikutana nae wapi au ni kwenye cm baada ya kukosea namba,ushauri wangu tafuta watu wake wa karibu na kuongea nao,wajaribu kuuliza tatizo ni nn?ukishafahamu ndo ujipange na kuchukua hatua.
 
Nenda kwao katoe posa na baada ya hapo utajua kama kweli bado anakupenda ama vipi,acha ngono.
 
Mkuu acha kulia lia juu ya papuchi..
we kaa ujikua kuwa ukiona manyoya ..ujue..?
 
Duh pole mkuu huyo umesha mkosa tena ....... Take ur tym punguza machungu and move on
 
Chachu Ombara

Mhhhhhh nimejikuta nimecheka ..
We Chachu Ombara lini umeanza kutuwekea chai humu...
Anyway naona kalio ndo linakutatiza tafuta mwingine mwenye kalio kali zaidi lake
 
Last edited by a moderator:
Mpe wanachompa wenzako hao matozi....
1- mmpe pesa ya kutosha
2- mpe usafiri wa kueleweka
3- mpangie nyumba masaki
4- usisahau kumla kalio maana wanachuo ndio kitu wanapenda wanasema ni "kinga asilia ya kuzuia mimba mashuleni"
 
Kama kweli ana kalio matata pigana ikibidi ufe ukipigania mali yako..hakuna namna nyingine
 
Nenda kwao katoe posa na baada ya hapo utajua kama kweli bado anakupenda ama vipi,acha ngono.

Humtakii mema mwenzio, yaani pamoja na tote hayo unamshauri akatoe mahari?? Then sredi za Nyumbani hakukaliki zizidi zaidi??
 
Mlipie ada hata semi moja akuheshimu we unavua tu nguo unahisi .....
 
Chachu Ombara

Njoo pm mtu wangu tunaroga wanawake online, Tunapiga limbwata kwa njia ya wasapu na youtube.

Kazi ni kwako tu mtu wangu no more tears.
 
Last edited by a moderator:
kaka hapo umeliwa msipende kulea watoto wa kike ulitakiwa umpige mimba kabla hajafika mwaka wa pili sasa umemwachia mabitozi ona sasa wanavyogonga ngozi na wewe unabaki kulia lia hapa jf hahahahaaha kweli mapenzi kizunguzungu
 
Chachu Ombara

kampuni yako ya ushauri imesajiliwa??mpotezee bana utaumia sana kwahili mbona jf wako wengisana we hatakama umechoka jiweke ukosehemu fulan tengeneza kadi.aka buss kadi ukikutana nao unawaachia ..huku unaomba mungu ukosi ssebo..komaa humuhumu unatoka namke akiliyako tu
 
Last edited by a moderator:
Anha hata Mimi nilitoswa na mpenzi wangu wa kike alikuwa anaitwa Rachel au Rahel.Alipokuwa advance Mimi nipo chuo tulikuwa tuko pamoja sana,yeye ni mtu wa Mbeya sometimes nilikuwa nasafir toka Dar had mbeya wakat wa likizo kwenda kumcheki pande za uyole pale da ,lakin alipomaliza kidato cha 6 kuja university of Daressalaam alinibwaga vibaya ilikuwa karibu nipate ugonjwa wa moyo kutokana na mawazo,had leo sikonaye tena.Ushaur kwako-wanawake ndowalivyo usiumie sana moyo kwani huyo hakupend tena kaka,tafuta msichana mwingine atakayekupenda kwadhat hatimaye huyo utamuona wa kawaida tu
 
Ndorooooob9o99ooooo wewe. Tafuta pesa , atarudi mwenyewe. Kama swala aliyenyeshewa mvua.
 
Pole,ila hujaeleza ulikutana nae wapi au ni kwenye cm baada ya kukosea namba,ushauri wangu tafuta watu wake wa karibu na kuongea nao,wajaribu kuuliza tatizo ni nn?ukishafahamu ndo ujipange na kuchukua hatua.

Asante Mkuu, huyu dada kwa mara ya kwanza nilianza kuwasiliana nae kwa simu kupitia kwa mdogo wangu. I mean alikuwa shule moja na mdogo wangu so dogo akawa anatumia simu ya huyo dada kuwasiliana na mimi. Wakati tunafall in love tuliongea ana kwa ana likizo moja hivi.

- Suala la kuongea nae nishafanya sana lakini hasikii, ila nimerudi na dhamira na nguvu mpya ya kumpata tena.
 
Humtakii mema mwenzio, yaani pamoja na tote hayo unamshauri akatoe mahari?? Then sredi za Nyumbani hakukaliki zizidi zaidi??
Huoni kuwa alichokuwa akikifanya siku zote ni uasherati tu,mwanamke kama unampenda basi ni kwenda kwao na kutoa posa hakuna lingine,inawezekana huyo mwanamke ana mwanaume ambaye anaonesha hataki kumtumia bali anataka kumuoa hivyo jawabu lake hapa ni kutoa posa tu.
 
Back
Top Bottom