Kitalamu, Izo tunaita red flag,Wadau salaam,
Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute.
Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa ataniambia vingine.
Nifanyeje wadau
Huna akiliWadau salaam,

Hii kauli inatafakarisha sanaHuna akili
Hapendi zawadi yoyote yaani. Anasema anahudumiwa na wazazi wake. Daaaah. Ngoja niachane naeHela unampa???
Vipi unamkuna vizuri na kwa wakati??,. Tuanzie hapo kwanza
Hili nalo ni gumu. Kuamini kwa hawa viumbe ni ngumu sanaUna uhakika ni mpenzi wako?
Basi ushapigwaaa,.Hapendi zawadi yoyote yaani. Anasema anahudumiwa na wazazi wake. Daaaah. Ngoja niachane nae
Mtafutue kazi mpenzi wake ili imkeep busy akuachie mpenzi wako!Wadau salaam,
Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute.
Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa ataniambia vingine.
Nifanyeje wadau
Sad 😢Inasikitisha kuona unajibembeleza kupendwa sehemu usiyo pendwa.