Mpenzi wangu ameanza kunywa pombe

pili, huo umbali kwa wanandoa haufai..........


kwann uishi mbali na mkeo kisa kazi? unathamini kazi kuliko ndoa? utavuna mabua ndugu!
 
Kalazimishwa na boss wake nae kalazimika..... Wanaume wengine duh.. Waoga
 
Umesema ni mlokole halafu una mpenzi wa kike sio!! Bora tu uungane naye kunywa pombe maana kila mtu ana starehe zake. Wewe papuchi, yeye ngano.
 
Tayali ngoma ina kolea mdo mdo ipo siku una ludi una kuta yupo na bombadia, au bapa la nyagi siku hiyo ndo utalia kinyama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…