Mpenzi wangu alinidanganya kuwa yule ni ‘Bestfriend’ kumbe ni zaidi

Mimi kwa assessment yangu naona jamaa ni puga tu .. sema huyo anaeclaim ni girlfriend wa puga alikua anakutaka tu umtafune akatumia hio gia..

Kuna puga moja wakati tuko shule alikua anaenda chumba cha madem anashinda siku nzima.. wakitaka kubadiri nguo wanabadiri mbele yake tu.. na unavyojua mamanzi kupiga picha za ajabu ajabu ni kawaida yao.. wanaweza kumwambia awapige picha tu..
 
Ajawahi kujaribu ata mmoja
 
Ajawahi kujaribu ata mmoja
Yule jamaa hata ukiksalimia kiume haitikii.. ukimwambia "inakuaje mwanangu" haitikii anataka umwambie "mambo" ... jamaa mamanzi wanakwambia wanamuona kama mwenzao ndio maana wako confotable kubadirisha nguo akiwepo..
 
Daah
 
Mimi kwa assessment yangu naona jamaa ni puga tu .. sema huyo anaeclaim ni girlfriend wa puga alikua anakutaka tu umtafune akatumia hio gia..

Kuna puga moja wakati tuko shule alikua anaenda chumba cha madem anashinda siku nzima.. wakitaka kubadiri nguo wanabadiri mbele yake tu.. na unavyojua mamanzi kupiga picha za ajabu ajabu ni kawaida yao.. wanaweza kumwambia awapige picha tu..
Jamaa ukitazama profile hake Instagram utadhani ni mtoto wa kike, hakuna picha ya mwanaume.

Na inasemekana, ni kipozeo cha wadada ziwapandapo hamu wakiwa wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Punga ndo alikuwa dona Kantri wako. Alikuwa na wawili kakugea mmoja. Ni kama Madagascar walivyotuokoa dawa ya kufubaza Covid-19. Nawe ulipewa demu na punga ili ufubaze nyege. So 50/50

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndugu,

Napenda kueleza kisa kimoja kiliwahi kunitokea enzi bado nina mihangaiko mingi katika mahusiano. Kisa chenyewe kilikuwa kama ifuatavyo;

Nilibahatika kupata ajira kwenye Taasisi moja binafsi miaka kama 10 iliyopita. Kwa wakati huo nilikuwa bado naishi nyumbani, hivyo nilikuwa na nafasi kubwa sana ya kutunza pesa kwa ajili ya matumizi yangu mengine ikiwa ni pamoja na starehe.

Sasa, pale ofisini kwetu kulikuwa na mabinti wawili ambao walikuja kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo, ambao wao niliwakuta wakati mimi naanza kazi.

Kimsingi nilijitahidi sana kuwa nadhifu kuanzia mavazi hadi uchapa kazi, hivyo niliweza kujenga umaarufu na kupata sifa mbalimbali katika kazi na mahusiano baina ya wathmishi wengine.

Sasa, kama ujuavyo wanaume wengi tukishazoea sehemu zenye wadada, tunajikuta kuanza kujipenyeza kwenye mahusiano taratibu hata kama sio moja kwa moja. Ndivyo ilivyonitokea nikazama kwa mtoto wa field.

Kisa: Baada ya kuwa katika mahusiano na yule binti, tuliongea mengi na alitambulisha kwa marafiki zake, ambao alinitajia kwa majina, kati ya hao alitaha jina la kijana wa kiume.

Niliposikia jina la kiume, nilimhoji kwa kina kwanini alikuwa na urafiki na yule kijana wakati mimi ndiye mpenzi wake (nilikuwa na wivu sana). Dada akanijibu kuwa yule hakuwa mwanaume kamili, bali alikuwa ni kama yeye (mwanamke) na walisoma naye sekondari na kwamba alkmwonea huruma kwa sababu marafiki walimtemga kwasababu ya tabia za upunga, hivyo alinithibitishia kuwa hakuwa na madhara.

Binafsi, sikumwamini sana mpenzi wangu nikaamua kumfatilia yule kijana niliyeambiwa kuwa ni 'punga' niligundua alikuwa na tabia za kike naalishinda sana na watoto wa kike, japo sikuthibitisha.

Ikawa kila nilipotofautiana na mpenzi wangu, basi alikuwa anakimbilia kwa yule kijana (niliyeambiwa kuwa ni punga), nami nili-relax maana nilikuwa nina uhuru na girlfriend wangu wakati wote hata akiwa kule kwa yule kijana.

Tuluendelea na mahusiano yetu bila kuwa na tatizo kwa takribani mwaka na nusu hivi. Siku moja, girlfriend wangu aliniambia kwamba alienda nyumbani kwa yule kijana (best friend wake), kwa hiyo nikiwa narudi nyumbani nimpitie ili turudi pamoja. Alinijulisha pia kuwa simu yake ingezima kutokana na kuwa na asilimia kidogo za chaji maana umeme ulikuwa umekatika, hivyo akanipa namba ya binti mwingine waliyekuwa naye pale nyumbani kwa yule kijana.

Siku ile nilienda nikamchukua girlfriend wangu tukaenda nyumbani na maisha yaliendelea sawia. Ikawa sasa yule dada mwenye ile namba niliyopewa kuwasiliana naye wakati simu ya mpenzi wangu imezima aliendeleza mazoea ya kuwasiliana na mimi na alijitambulisha kwangu kuwa yeye alikuwa ni mpenzi wa yule kaka ambaye nilitambulishwa kuwa ni punga.

Na katikati ku-chat aliniambia kwamba alihisi kwamba jamaa yake (punga) alikuwa na mahusiano ya kkmapenzi na girlfriend wangu na alinipa baadhi ya vielelezo kuthibitisha maelezo yake, mfano picha wakiwa watupu pamoja, picha ambazo punga alimpiga girlfriend wangu kiwa mtupu kabisa n.k.

Of course, kuona vile nami ikabidi nijiongeze kwake ili nipungize hasira (japo hasira haikupungua, nilijiona mjinga zaidi).

Niliamua kumwambia girlfriend wangu niliyafahamu na kumhoji maana nilikuwa tayati nina ushahidi, ndipo alikiri kwamba jamaa hakuwa punga, na yule dada kweli ni girlfriend wa punga. Kwamba kama asingesema vile (kuwa jamaa punga) nisingempa uhuru wa kuwa naye.

Nilikata gamaa kabisa, na tangu siku ile sikuamini tena u-bestfriend kati ma mvulana na mpenzi wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana Mdogowangu, hayo ndo maisha
Ungemleta Punga Kwa shangazi WA Unganda ampime Urijali wake🏃🏃🏃
 
Kuna jamaa kule Sengerema, alikua anatomba mpaka wake za watu kimasihara

Yaan walikuaga wanajua jamaa ni punga.

So wanamtania... "wewe hudindishi hata nikikupa hufanyi"

Jamaa akawa anawambia nipe uone....mwisho wa siku demu anagongwa...alafu walikua hawasemi kama wameliwa ,wanabaki kuumilia kimoyomoyo hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
baby punguza ukali wa maneno loh

Ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo ivo Mkuu, wee acha Dunia ina vijambo,

Sasa jamaa alivokua akishatoka kuwala sindo anakuja Kitaani kwa wana, basi anabaki kuchora tu, huyu nimepiga , yule nimepiga

Siku moja kwa masikio yangu Mmama mmoja (alowahi liwa namuhuni) anawambia wanawake wenzake kwa kisukuma akimaanisha ivi "Acheni mazoea nahuyo ,atawatomba bure " ...

Nilicheka kimoyo Moyo hahahahaha.

Jamaaa lilikuja kuoa ,ndo Kitaa kizima kikapoa !!.

Ha ha ha hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom