Mpenzi wangu alinidanganya kuwa yeye ni bikira

Mpenzi wangu alinidanganya kuwa yeye ni bikira

Chinu

Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
19
Reaction score
7
Habari zenu wakuu,

Nilikua na mpenzi ambaye tulidumu nae kwa muda wa miaka miwili. Katika kipindi cha mahusiano yetu sikuwahi kufanya nae mapenzi kwani aliniambia kuwa yeye ni bikira na kuwa nisubiri mpaka tuoane.

Kwa kuwa nilimpenda niliamua kusubiri. Cha kushangaza juzi tu baada ya ndoa tu tulipofanya mapenzi hali ilikua tofauti baada ya kukutana na nisichotegemea. Roho imeniuma sana kwani kumbe wakati mi namsubiri wengine walikua wanakula mzigo.
 
Majibu Unayo
Yaani Wenzako
Walikuwa Wanakula Mzigo
Basi Mkuu Kuchapiwa Ni Siri Ya Ndani

Members Wengine Wajuzi Wa Ku- Upload Muziki
Banana Zoro Wimbo Nzera Unahusika Sana Hapa Kwenye Thread Hii
 
Mimi namuacha kudadeki zake hata kama ndoa ilifungiwa kanisa gani. To he***.
Kuna kamoja kalimidanganya hivyo hivyo nikakafanyia birthday ya nguvu na marafiki zake , mwishonwa siku nikakuta shimo la tewa. Adi leo sitaki kukasikia.
In short bora mtu asinidanganye ukisema ukweli sio vibaya.
 
Chinu

hakuwa mpenzi wako bali rafiki.
 
Last edited by a moderator:
Kuwa mpole nasikia zingine zinatoka zenyewe kama alikuwa anapenda kuendesha baskeli
 
Kwani ukishaolewa ndio huwezi kuachika?

Wanawake wengi huwa mnajidanganya kwamba ukishaolewa basi huwezi kuachika, badilika, mimi nakuacha at any time t.

wewe uwe unafatilia mjadala sio kuqoute tu.
Nilimjibu aliyemwambia amuache mapema...mapema ipi wakati kashaoa???
Hakuna sehemu niliyosema ukiolewa huachiki namimi binafsi sisujudii ndoa!
 
wewe uwe unafatilia mjadala sio kuqoute tu.
Nilimjibu aliyemwambia amuache mapema...mapema ipi wakati kashaoa???
Hakuna sehemu niliyosema ukiolewa huachiki namimi binafsi sisujudii ndoa!

Rudia kusoma vizuri ulimjbu nani ili uone nani anakurupuka kujibu mimi au wewe.

Huelewi unachokiandika, hakuna sehemu umesema ukiolewa huachiki wakati nimemshauri amuache wewe ukasema keshaoa maana yake ni kwamba hakuna jinsi ya kumuacha.

Muwe mnaelewa mnachokiandika kwanza.
 
Embu ongea nae vizur kwa nn alikidanganya ni bikra. Yawezekana wakati we unasubiri wengine wanakamua. Be wise on that
 
unauhakika gani wakati unasubiri alikua analiwa???
Na alikwambia ana bikra ya nini? maana hata ambaye hajawahi pika pilau ni bikra pia .....

Mamaa rubii hapo kwenye red nimebaki nimetumbua mimacho tu
Ha ha haa duh balaa.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu mleta post ni.ke ama me maana naona mambo mawili.kwenye hii post ujinga wa kiwango cha juu sana
 
Rudia kusoma vizuri ulimjbu nani ili uone nani anakurupuka kujibu mimi au wewe.

Huelewi unachokiandika, hakuna sehemu umesema ukiolewa huachiki wakati nimemshauri amuache wewe ukasema keshaoa maana yake ni kwamba hakuna jinsi ya kumuacha.

Muwe mnaelewa mnachokiandika kwanza.

Haya umeshinda! amuache mapema sana na kuolewa si kutoachika. siku njema.!
 
Back
Top Bottom