Mpenzi wangu akivaa kondom dushelele linalala

Mpenzi wangu akivaa kondom dushelele linalala

Hata hvyo sishangai kuna mskaji wangu akivaa akimaliza tendo uume unavimba asipovaa yan freshiiiiii
 
Na mim imewahi nitokea, nilichukua wale wa one night stand, dushelele ikashindwa kusimama lakin nikiwa na madem wengne inasimama fresh tu, dah nilishangaa sana, sijui nilikuwa naogopa,

Hapo kwako ishu ilikuwa hofu ya kukanyaga waya tu, ukichukulia umechukua shoka ambalo hulijui!!. Lakini ishu ya huyo msela labda ni fundi wa punyeto au anakosa kujiamini kwa demu wake.
 
huyo anaishi au alikwishawahi kuishi na mwanamke kama mme na mke, mara nyingi waliooa au walioishi na vimada kwa muda mrefu matumizi ya kondomu huwa yanawashinda kutokana na mazoea ya nyama kwa nyama.
Hilo ndiyo jibu la tatizo lake.umesema vema mdau.
 
Hiyo inasababisha na kupiga punyeto muda mrefu na hiyo huwatokea wavulana wengi hasa hasa waliosoma boys hivyo wakati wa kugegeda anakuwa hana confidence juu ya demu aliyeko naye kwa sababu mawazo yake yatakuwa juu yako kwamba utamwonaje akishindwa kukuridhisha.
 
Inawezekana anatumia condom ndogo. Mwambie atumie Magnum, Durex au Rough Rider king size zile fresh. Lakini hizi condom zetu za kawaida zinabana sana mashine.
 
yawezekana ni njia ya kutaka kula bila condom
 
Kuna mchango hapa unazungumza sababu mojawapo iliyotolewa na daktari kwa mtu aliyewahi kuwa na tatizo kama la jovitha mussa kuwa ni kupiga punyeto (a.k.a nyeto)!

Naomba nikuulizeni me wenzangu; Je, kuna yeyote katika makuzi yake (std 6 thru form VI) ambaye hakuwahi kabisa kupiga nyeto?????
 
Last edited by a moderator:
Wadau

naomba niweke wazi, nina mpnz wangu ambaye nampenda sana na mimi pia najua ananipenda anaweza akawa anataka kujegeja na kama mpo mahala pa starehe unaona dushelele limetuna kwenye suruali hata saa nzima huku anakusumbua mkalale.

anakuwa ana nyege, mkifika room dushelele unakuta limesimama kama nguzo ya umeme. Hatujapima, tunatumia kondom. Tunafanya romance fresh, ila akianza kuvaa kondom tu dushelele linalala na anakuwa mnyonge.

kama sina haraka nkavumilia anarudi katika hali yake na dushelele likisimama lazima anikamue kweli kweli. Tatzo huwa sipati muda wa kutosha ni home wananibana na napata muda mfupi kuwa nae. Sijawah kufanya nae bila kondom

ushauri wenu

Huyo atakuwa kalogwa na X wake mchunguze kwa makini
 
Punyeto is like madawa ya kulevya, solution ya kuacha ni kuoa tu. Mybe itasaidia

Mimi nimeoa lakini Puli bado napiga. Nimejaribu kuacha lakini nimeshindwa. Ili nahisi Puli imeniokoa na ukimwi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom