Mpenzi wangu akivaa kondom dushelele linalala

Mpenzi wangu akivaa kondom dushelele linalala

Mvinyo unaochachushwa muda mrefu ndio wenye thamani....endelea kusubiri tu!

Hapa ndo nnaposikitika kwa nini mimi bado bikra...
Sina experience kabisa. watu8 dadako msukuma kaninyima kabisa kasema mpaka ndoa...sigh!
 
Last edited by a moderator:
Mchunguze huenda akawa anapenda sana kuangalia picha za X
 
1. Anaangalia porno sana na kupiga pull
2. Awe anaikunjua kondom yote kwa chini, kuna kifundo kikibaki huku kwenye shina kinakaba sana.
3. Usiruhusu kufanya bila kondom, anaweza kuitumia hii kuhararisha, ukipata mimba mtatafutana.
 
Mawazo ya General solution ndo jibu muafaka wa hoja yako. Alipiga sana punyeto huyo jamaa ndo maana hali kama hiyo huwa inamtokea. Hali kama hii huwa inanikuta hata mimi mara kadhaa. Dawa ni kuacha kabisa punyeto mambo yatakuwa shwari
Punyeto is like madawa ya kulevya, solution ya kuacha ni kuoa tu. Mybe itasaidia
 
Atii?kupiga puli?he he,acha kabisa kupiga masta na kuangalia porno utaimproove!
 
heee! Inaogopa kondom? Itakuwa imezoea kuteleza.
 
uwe unaaga hom bas mana hilo dushelele halijazoea mambo ya voda fasta
 
Unavishwa sweta kwenye joto wewe utakubali? Chezea joto lililopo kwenye kichongeo then liingie na sweta hata mimi ningegoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom