Eliza wa Tegeta
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 251
- 108
wa kwangu namuita jina lalotaka wakati huo..........naweza kumuita ISUZU kama ndo lisharahisha wakati huo.......lols
Hi mada imekuja tena tulishaizungumzia kitambo na mimi Nakumbuka nilishasema huwa namuita
''Afrodenzi''
kuna amani kweli hapo?Al shahab
darling maana yake,mporiporimi namuita darling:lol:
mamaa=mcharukoMamaa.
kiduku=chup mkononikiduku
duduwasha=nyumba chooduduwasha:A S 465:
afrodenz=circumcised:nerd::nerd:
Mkate wa Arusha Ile Ya Sankist Ilikuwa ni Mitamu Balaa nilipoionja first time nikawa naagiza tu Haki yako kumuita Mikate ya Arusha Ukimaanisha ni Mtamusie tulikuwa tunauita mkate wa arusha BOFLO...........kwahiyo na mwinziwako boflo pia?
naniliu=cha wotemama naniliu..