Mpenzi wako wa kwanza kabisa yuko wapi?

Yupo ana watoto watatu na ndoa yake yenye furaha. Huwa tunasalimiana kimtandao coz tupo marafiki. Last time nilikutana nae MNH nikiwa nasubiri wife ajifungue, we hugged na kupiga stories mbili tatu. Hatuna hard feelings na heshima mbele kama tai.

Wengine hapo wakikutana wanawaza kupasha kiporo tu
 
Mkuu inaonekana ulikua unampenda sana yeye T,
"Nje" unamanisha wapi?
Ulikua unajua viwanja vyake huko nje?
Daa! mkuu kitu kimepanda kinyamwezi ni ile mbaya, kwao Tabora, mawazoo! alikuwa na ka hekima fulani hivi!
Nje na maana ya, Western Maseru- Kingdom of Lesotho, baadaye akahamishiwa Libreville- Sao tome and Principe! na Reunion, UNICEF.
 
Msaidie tu mkuu, ilà usimle. Najua hiyo huruma inaweza kuleta mambo ilà ukisimamia hivyo utaona vile atakuheshimu.
 
Endelea Kula tu kwa macho hata ucjaribu kumvurugia ndoa yake
Toto lilikuwa lako ukalipoteza kizembeeee
 
Wengi wanatamani utetereke sema ndio haiwezekani unabaki kushangaa anavyozidi kunawiri.
Nakubaliana na wazo lako, na mbaya zaidi iwe kuna mradi au kaz alihusika, basi atataka kila kitu kianguke ili umuhim wake uonekane
 
Daa! mkuu kitu kimepanda kinyamwezi ni ile mbaya, kwao Tabora, mawazoo! alikuwa na ka hekima fulani hivi!
Nje na maana ya, Western Maseru- Kingdom of Lesotho, baadaye akahamishiwa Libreville- Sao tome and Principe! na Reunion, UNICEF.
Huyo unatakiwa umsahau na utafute mwingine..mbn wako sana
 
Dah Anajuta hlf kuna kitu kinamuumiza sana..hapo atazidi juta kama yeye ndiyo alifanya uamuzi wa kuvunja mahusiano au alikua na tabia fln ambazo siyo zilizovunja mahusiano.
Endelea tu kumpa sapoti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…