ma game yapo mengi unge fafanua zaid
Habari wadau,
Naombeni msaada wenu katika hili. Hivi mpenzi wako anapo kataa kushiriki na wewe mapenzi unafanyaje?
Mimi nina mdada huyo tangu anikubali hadi sasa ni miezi 5 lakini kila ninapo muomba game anadai muda bado.
Jamani nimueleweje huyu?
Naombeni ushauri wenu.
Zinaa mbaya!! Kha muoe kabisa if huna plan muache usimharibie bure
Habari wadau,
Naombeni msaada wenu katika hili. Hivi mpenzi wako anapo kataa kushiriki na wewe mapenzi unafanyaje?
Mimi nina mdada huyo tangu anikubali hadi sasa ni miezi 5 lakini kila ninapo muomba game anadai muda bado.
Jamani nimueleweje huyu?
Naombeni ushauri wenu.
Huwa nawashangaa sana wanawake wanapotumia neno kuharibiwa maisha na wanaume, huwa sielewi kabisa, utakuta hapo ame consume mapene yako mpaka umekuwa broke mbaya, sasa siku mkiachana utasikia umeniharibia maisha utafikiri yeye pekeake ndo alikuwa anaishi, oo sijui umenichezea tu, utafikiri na yeye alikuwa hakuchezei mkiwa kunako,Zinaa mbaya!! Kha muoe kabisa if huna plan muache usimharibie bure
Huwa nawashangaa sana wanawake wanapotumia neno kuharibiwa maisha na wanaume, huwa sielewi kabisa, utakuta hapo ame consume mapene yako mpaka umekuwa broke mbaya, sasa siku mkiachana utasikia umeniharibia maisha utafikiri yeye pekeake ndo alikuwa anaishi, oo sijui umenichezea tu, utafikiri na yeye alikuwa hakuchezei mkiwa kunako,