Mpenzi wako anapokataa kufanya mapenzi unafanyaje?

Mpenzi wako anapokataa kufanya mapenzi unafanyaje?

masikini anatoswa papuchi.

ila endelea kumpa hela tu huna namna.
 
usimuambie kbla kua leo nataka tufanye mapenzi, wewe mshtukize tu
 
acha papara mkuu baraza la mawaziri likishapangwa tu omba mzigo
 
Habari wadau,

Naombeni msaada wenu katika hili. Hivi mpenzi wako anapo kataa kushiriki na wewe mapenzi unafanyaje?

Mimi nina mdada huyo tangu anikubali hadi sasa ni miezi 5 lakini kila ninapo muomba game anadai muda bado.

Jamani nimueleweje huyu?

Naombeni ushauri wenu.

Muelewe kama alivyosema tu mbona simple? Hayupo tayari!! Miezi 5 unaona anakuchelewesha??Wenzio walisubiri for 6 years ndo wakapewa game
 
Yap weka mipango muoane kwanza akigoma kuolewa poteza hana malengo nawe yawezekana alikubali pasipo kuwa huru au kwa shinikizo
 
Habari wadau,

Naombeni msaada wenu katika hili. Hivi mpenzi wako anapo kataa kushiriki na wewe mapenzi unafanyaje?

Mimi nina mdada huyo tangu anikubali hadi sasa ni miezi 5 lakini kila ninapo muomba game anadai muda bado.

Jamani nimueleweje huyu?

Naombeni ushauri wenu.

Muelewe kwamba muda bado.

Kukubali ni swala lingine na kutoa mchezo ni swala lingine kabisa japo yanaendana.
 
Hahahaha pengine ni vitu vidogo tu.
Kama huwa unamwambia hayo mchana,mwambie usiku na kama usiku fanya vice versa.
 
Zinaa mbaya!! Kha muoe kabisa if huna plan muache usimharibie bure

tangaza ndoa neno zinaa linabadilika linakuwa tendo la ndoa mkazaane muijaze nchi yaani ndoa nzuri baba yake mama yake watashangilia mtoto anavyoenda kupigwa mijengo
 
Back
Top Bottom