Mpenzi wako anapokataa kufanya mapenzi unafanyaje?

Mpenzi wako anapokataa kufanya mapenzi unafanyaje?

Watu mna mioyo ya uvumilivu,yani miez mitano unapgwa kalenda tu na wewe unazidi kusubiri!
 
Habari wadau,

Naombeni msaada wenu katika hili. Hivi mpenzi wako anapo kataa kushiriki na wewe mapenzi unafanyaje?

Mimi nina mdada huyo tangu anikubali hadi sasa ni miezi 5 lakini kila ninapo muomba game anadai muda bado.

Jamani nimueleweje huyu?

Naombeni ushauri wenu.

Mkuu piga nyeto huku ukivuta hisia khs yeye.njia hii itakupa subira mpaka shem atakapokua tayari.
 
Ah ah ah, arob atah ouh iruahsu apmoilu, anaam umuh ototaw ignew anas.


Aemegetana utm emesa ayah ilabukemin, azigni.


Ah ha ha ssim out orb!! Epoh ouyy doog ufalah asas enignew anibmananaw ite ehcawm ewila hud!!! Izak ilewk ilewk
 
Habari wadau,

Naombeni msaada wenu katika hili. Hivi mpenzi wako anapo kataa kushiriki na wewe mapenzi unafanyaje?

Mimi nina mdada huyo tangu anikubali hadi sasa ni miezi 5 lakini kila ninapo muomba game anadai muda bado.

Jamani nimueleweje huyu?

Naombeni ushauri wenu.

Huyo ndo mke wa kuoa. kamwe usimwache subira yavuta kheri. wengine ni malaya tuu anatongozwa hapo hapo na muda huo huo anatoa mzigo duu!
 
Pole shujaa, mpotezee kama wiki hivi alafu usikilizie kuwa hatakutafuta?akikutafuta mwambie amekubania papuchi..
 
"Evelyn Salt 11:08 Today
Jitathmini we upo kundi lipi, sponsor, Wa kuuzia sura, Mbanduaji, escorter, au wewe ni sub?"

Mkuu Nimecheka Mbaya kabisa
 
Ahsateni kwa ushauri wenu lakini ukweli kuvumilia yataka moyo sana
 
Zinaa mbaya!! Kha muoe kabisa if huna plan muache usimharibie bure

sina niya kumpotezea muda ila kwani wote walio funga ndoa hawakuwahi kukutana kabla?
 
Ujinga ni pale unamwita anakubali,unalipia room yupo kimya,mkifika room anakuliza tumeingia humu kufanya nini?
 
Inaonekana dogo ndo una balehe au upo pale kanisan kama ministrant!
Ww si jasiri kabisaa
 
Unaacha kumuita "Mdada". I'm not romantic, so I know for sure that's not as well.
 
Back
Top Bottom