Sidhani kama unajua kuhusu kesi za mtu kufa mzee usiombe hata kidogo hasa kwa nchi zetu ambazo mifumo ya kisheria na haki haipo vzr ukikaa muda mchache ndani bhasi ni miaka 3 kwa kesi za hvyo naongea kwa uzoefu si hisiaIta mjumbe, nendeni kutoa taarifa police.
Utaswekwa ndani kama wiki mbili uchunguzi ukiisha you are free to go. Ila jua selo kuingia ni bure ila kutoka si bure so usiwe na mkono mfupi.....


