Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,863
- 5,095
Uzi usindikizwe na kibao cha Kafia gheto by Hussein Machozi
K3wana track na kuwashikilia watu watano wa mwisho aliowapigia au kuwatumia SMS, watakudaka tu
mwisho wa siku kasanukiwa kizembeHaha ahaaaaaaaa!!! Watu ktk kufanya usafi wakakuta pete! Jamaa alikua mzembe sana! Pale angemgegeda yule binti yote yasingetokea!
mwisho wa siku kadakwa simple,imagine ni wewe kwa case ya jamaa ungefanyaje?Naifaham, ni muvi kali sana...Jamaa aliua bahati mbaya akaona suluhisho ni kuuteketeza mwili
Jisalimishe polisi waeleze ukweli wote na km ni mtu wa church au Msikiti basi huko nako wape ukweli mtupu usiwafiche.For sure Mambo yatakaa sawa.Wakuu kwema?
Huwa najiuliza sana mfano imetokea umekuwa na mahusiano na mwanamke halafu baada ya wiki akaja kwako kulala halafu asubuhi unamuamsha unataka uingie mishe mishe unashangaa haamki, unamtikisa unaona hatikisiki, unammwagia maji haamki. Unahamaki kuona anatokwa povu mdomoni, unamgusa unakuta wabaridi
Unagusa kifuani unashtuka mapigo ya moyo hayadundi. Je, utatoka nje uwajuze majirani? Wataamini vipi kama ni bahati mbaya
Je, utatoroka?? Hapa utakuwa umejivua utu na itaonekana kama ulikusudia
Ukibaki tena ni msala tena msala kwelikweli
Je, utafanyaje??