intermediate
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 232
- 166
Sababu yanini nani amuulize? K um.a ni yake nimuulize nn au niumie nini? Anisafishie tu hiyo sahani anipakulie msosoi...
Zamaulid nakuunga mkono kwa upande mmoja wa coin, inaweza kusaidia endapo kama ame cheat kutokana na mapungufu fulani ambayo yanatakiwa kurekebishwa
Kama ni mimi kabla hajamaliza kunieleza huo upuuzi kuna jambo moja linaweza kutokea kati ya haya mawili.....1 kumpiga na kitu chenye ncha kali.......... 2 au mi kufa kwa shinikizo la damu kupanda ghafla