what if alicheat coz of your faults or whatever causation attributed to you? why unaangalia upande wake tu? why hutaki kujiangalia na upande wako kwamba may be pengine umechangia?
RIGHT TO BE HEARD is one among of natural justice principles. Kwamba no one should be condemned unheard. Before you pass a judgement upon, msikilize kwanza mtu as to why alifanya hivyo, pengine hakuwa na namna nyingine au victim ndo alisababisha mtuhumiwa kufanya hivyo. That's why (mfano) MWIZI ata umkamate live anaiba na vithibiti vyote plus ushahili, mahakama lazima tu imsikilize kwanza before kutoa hukumu/uamuzi, na hukumu/uamuzi inaweza aidha kumuadhibu au kumuachilia huru.
So mpenzi wako akicheat, jiulize WHY na wewe mwenyewe UJITATHIMIN kwenye huo uhusiano wenu.
Kuna watu huwa wanafumania wake/waume zao ugoni, na bado ndoa haivunjiki, ngoma inogire kama kawa.
Mahaba niteketeze kabisa Kaveli mie.
-Kaveli-