It might be helpful ili kuboresha. but it has down-sides too
helpful? ????!!!!!!! kumbuka atakua keshacheat....kwanini asiseme mapema kama kuna pa kurekebisha turekebishe before cheating? ?? mi kwangu haitasaidia zaidi ya kuumiza tu...
It might be helpful ili kuboresha. but it has down-sides too
kuna kusema mapema na usisikilizwe wala kukujali, inafikia hatua mtu unachoka. remember: shi.ts happen in luv
na haswaaa hicho ndo nilicho kusudia...mwingine anaweza kuchepuka kwa sababu ambazo zinaweza kuwa worked on...
It will never going to be helpful , zaidi it will ruin your emotions and poison your mind. Amini nakuambia.
Mimi binafsi sina moyo wa kusamehe hilo , ila ikitokea siwezi kuuliza sababu hata iweje.
It will never going to be helpful , zaidi it will ruin your emotions and poison your mind. Amini nakuambia.
Mimi binafsi sina moyo wa kusamehe hilo , ila ikitokea siwezi kuuliza sababu hata iweje.
So the only solution is cheating? ?????? Je unapocheat unakua umesolve tatizo?????
kwahiyo mpenzi wako aki cheat kwa mara ya kwanza hautamsamehe?
Si yote == asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na walimwengu. Hivyo kucheat kunaweza kusaidia kufanya mwenzi mkae meza moja.Hakyamungu vile...kwanini acheat??? kama kanichoka au kuna mapungufu aseme tu mana naamini matatizo yote yanaisha kwa kuzungumza.
It ain't the ONLY solution, but it is AMONG of solutions to crack the code and seal the deal. Naweza cheat EITHER ili ku-draw your attention back (coz ulikuwa hunisikilizi wala hujali kutatua matatizo/mapungufu yaliyopo) OR ili kubreak-up the bond kwa kuku-trap wewe ndo uanze kusema 'bye'.
Shi.ts happen in the so called 'love'
-Kaveli-
ANA CHEAT ILI KUCHUNA NA KULETA HELA NYUMBANI,
MKEO/MPENZIO KULIWA MBUNYE NJEHAISABABISHI ANY PHYSICAL DAMAGE YOYOTE , NI KAMA HAND SHAKING TU![/
QUOTE]
Kula mbunye ya mpenzi wangu nitachukulia ni hand shaking ila mke wangu asee na wewe lazima niku shake your hand!!!
Hakyamungu vile...kwanini acheat??? kama kanichoka au kuna mapungufu aseme tu mana naamini matatizo yote yanaisha kwa kuzungumza.