Mpenzi wake wa zamani bado anamuhitaji kimapenzi

Mpenzi wake wa zamani bado anamuhitaji kimapenzi

Mjaze mimba then mwambie aje alee hiyo mimba kama anampenda hapo utakuwa umekata mzizi wa fitina
 
Dawa ni ndogo Sana Hilo zigo lote mtwishe demu wako yeye ajue Nini Cha kufanya, unaweza jikuta unatwangana making na mwanaume mwenzako kiss demu mouuzi asiye na msimamo.

Kitu kingine vigezo vya kumuoa Anza kuvishusha Kama ulikuwa una Nia hiyo.

MWANAMKE MARA ZOTE HUFUATA MWANAUME MWENYE NGUVU ZIWE ZA MWILI, FEDHA, AU USHAWISHI.
 
Habarini wana MMU.

Jamani nina girlfriend wangu tunakama mwaka mmoja na miezi kadhaa, kiukwel nampenda ila tatizo linakuja mwanaume aliyekuwa nae(ex boyfriend wake) bado anamsumbua sana, yaani jamaa ni king'ang'anizi sijapata kuona.

Mara ya kwanza niliona kawaida ila imefika hatua hiki kitu kimeanza kuwa kero kwangu.

Jamaa anatuma message na kupiga simu mara kwa mara ingawa my girl ananiambia ameacha kupokea na kingine anapost picha za girlfriend wangu FB akidai kuwa ndo mke wake mtarajiwa.

Naombeni ushauri wenu nimfanyaje huyu mtu?
shes still fucking with him. If she don't want communicate with him she will.Shes just fooling you like she hate him but deep down her soul she still need him and take care my brother she can turn her back and look at him and thinks his the man who she wants because no matter she have be in relationship with other man that's you but the man still didn't give up.And at some point she will say his a hero and thats all the woman wants a man who can fight for them no matter what.
 
Habarini wana MMU.
Jamani nina girlfriend wangu tunakama mwaka mmoja na miezi kadhaa, kiukwel nampenda ila tatizo linakuja mwanaume aliyekuwa nae(ex boyfriend wake) bado anamsumbua sana, yaani jamaa ni king'ang'anizi sijapata kuona.
Mara ya kwanza niliona kawaida ila imefika hatua hiki kitu kimeanza kuwa kero kwangu.
Jamaa anatuma message na kupiga simu mara kwa mara ingawa my girl ananiambia ameacha kupokea na kingine anapost picha za girlfriend wangu FB akidai kuwa ndo mke wake mtarajiwa.
Naombeni ushauri wenu nimfanyaje huyu mtu?
Yeye anamtangaza mtandaoni kuwa ndiye mke wake mtarajiwa wewe upo naye himayani tatizo liko wapi siku akijua maana halisi ya kuachika ataacha kupost, kaa tulia zidisha upendo ili binti asijute kuwa na wewe msahaulishe kuhusu x wake mpe mambo muruwaa ila hakikisha mawasiliano kati yao yanakoma mara moja tena haraka iwezekanavyo.
Mwambie binti aongee na jamaa amwambie kuwa keshaolewa na ni mke wa mtu tayari hivyo hayupo tayari kuona vitendo anavyofanya kwasababu analinda heshima ya ndoa yake, akishindwa chukua simu mpigie jamaa mpe maneno machache tu ya kiume kumpa onyo ila usije kuongea kama unaimba bongo fleva maana jamaa ataona udhaifu wako halafu atajipa moyo kuwa bado anayo nafasi ya kurudisha mapenzi kwa binti.
Nikutakie penzi lenye furaha kijana
 
Back
Top Bottom