Mpenzi wake wa zamani bado anamuhitaji kimapenzi

Mpenzi wake wa zamani bado anamuhitaji kimapenzi

Believe me kwa uzoefu wangu na hawa watoto wa kike....ni kuwa huyo girl wako anawachanganya Wote Wawili at once....
Na hakumuambia jamaa kuwa ana mtu mwingine ndio maana yupo free kupiga simu muda wowote.....
Mwanamke ambaye hamtaki mwanaume hataki namba za hawezi kuzihifadhi...achilia mbali kupokea simu yake.....wewe mwenyewe huoni jamaa anapiga simu kwa. kujiamini kabisa...ni kuwa huwa anampa ushirikiano wakiwa Wawili....wewe anakizuga tu...
.............................................................
 
Mim kuna mtu nampenda mno but ndo hvyo kaolewa......but namba ake nimeikalili mno napata wakat Mgumu saaana hata kama sina mpango Wa kumtafuta najikuta nshapigia Dah apenda saaana huyo mtoto
 
Acha ujinga,wewe na huyo demu wako mna matatizo makubwa,mblacklist kwenye sim ya huyo unaemuita mpenzi wako. Kwanza mpigie kupitia no ya huyo mpenzi wako umuonye kisha mtupie kwenye black list.

mkuu tume blacklist saana..jamaa anabadili number kila siku
 
siku moja usiku wa manane mpigie huyo jamaa kwa kutumia simu ya demu wako mwambie kuwa unakula mzigo muda huo aache kusumbua sumbua!!!! na mwanamke awe anatoa sauti flani hivi najua unazijua hizo sauti kama akikufatilia tena sijui....!!!!!!
:ranger:

Mkuu ivi unahisi ni kosa la mwanamme Mwenzio kweli Hilo? Sasa akikujibu kua mie ndio nimetoka kula mzigo usiku huu hiyo kitu between the legs hainywei? Mpe fikra nyengine ....
 
Hata hii yako inanitishiaaa

unataka kuniona nilivyo!!! unajua wanasema mimi handsome ndo maana nikapiga picha usiku saa nane ili nisichanganye mademu MMU tena sijawasha taa napicha sijatoa flash.....!!!!
 
utoto kama huo sipendi yan huyo bi dada hayoko serious kabisa mmxxiiuuu
 
Back
Top Bottom