Kama ikatokea umekutana na mpenzi wako wa kwanza kabisa,yaani yule 'aliyelianzisha' na mna mahusiano na watu wengine tofauti,say umeoa/olewa na akataka 'kukumbushia'.Je una ubavu kweli wa kumkatalia?
kwa nini usimkatalie? Kuwa wa kwanza ndio nini?
Alikuwa wa kwanza lakin mda wake ushapita na nafasi yake ishachukuliwa na mtu mwingine.
Watu huwa wanasema awali ni awali bt hakuna kitu kama hicho.
kwa nini usimkatalie? Kuwa wa kwanza ndio nini? Alikuwa wa kwanza lakin mda wake ushapita na nafasi yake ishachukuliwa na mtu mwingine.Watu huwa wanasema awali ni awali bt hakuna kitu kama hicho.
Haimaanishi muendelee kuchakachua! Inabaki HESHIMA TU. Umeolewa na yeye kaoa mnakumbushia nini msichokijua?? Watu wanautumia huo msemo kuhalalisha Ngono.
Duh kwanini nimkalie au kwanini aninyime lol sijawai kujaribu! Ila sasa ina maana kama anaumwa au naumwa maana kuna gap katikati? au ndio kula raha kifo chaja?
kama ikatokea umekutana na mpenzi wako wa kwanza kabisa,yaani yule 'aliyelianzisha' na mna mahusiano na watu wengine tofauti,say umeoa/olewa na akataka 'kukumbushia'.je una ubavu kweli wa kumkalia?