Mpenzi wa kaka simuelewi


usinisaliti nakuomba.
 
Hadithi ndeeefu, sasa ulikuwa na haja gani kusimulia mpaka jinsi mlivyo kula muwa, mambo ya ndizi na nyama mbuzi choma na juice kubwa ya azam, du mlifaudu nyama mbuzi eeee? na wewe ulikunywa fanta au mlishea hiyo juisi? du ulafaudu wewe, yaani !!!!

Kwa hiyo anakuja geto kwako anaoga, kumbe na wewe una geto lako aisee, alafu fullu kiyoyozi mwanangu, alafu bafu kwa ndani ya geto au mpaka uwani? alafu demu akishaoga unampa na taulo lako ajifunge au? alfu anaingia geto kwako anavaa huku umemdumbulia mijicho eeee? sawa bwana.
 
Hao YANGA kesho labda wasije uwanjani.....tutawatungua 7 bila kudadeki............
 
We ndo unayempa nafac lait unhalimwonyesha wazi asingekushobokea,sema una kitamaa kwa mbali sitak nataka
 
labda we handsome kuliko kaka ako! ndo mana anakuganda! sasa had mama ako amjua kama ni gal wako then unasema hujamfanya chochote.... mweh!! hizi hadith za aliens bana! kila sayari wapo
 
Dah! Maelezo marefu sana, halafu unahadithia kisista du sana, ndo maana anakuchulia poa nn!!
 
Guyz ni story ya kweli bro aliondoka mwezi wa tisa mwishoni kwenda chuo...ukiponda husaidii kitu nishaur nifanye nn....story kuwa ndefu ni ili unielewe mm nitunge story ikusaidien nn mm nasema true story
 

Ili unielewe kaka chai huwekwa sukari kaka....we ni shaurii kama huwezi basi piga kimyaaaa
 
kwa hii story ilivyo ndefu na huu uongo aibu naona mimi

Mtu mrefu na mfupi wote ni binadamu wa kweliiiii hata story ni hivyo hivyo we nishauri mengine piga kimya so ulitaka nije hapa niseme naomba ushauri bila kusema chochote
 

Bro yupo chuo hayupo home ni bro wangu kabisa ye wakwanza mm wapili.....bt dis tym akitoka chuo huwa ana kaa na bibi coz bb yupo peke ake home das y cpo karibu nae sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…