Mpenzi wa jinsia moja achinjwa Uturuki

Mpenzi wa jinsia moja achinjwa Uturuki

Mnafurahia kifo cha mtu tena usiemjua. Kawakosea nini?
 
Kiwiliwili cha bwana Sankari' kimepatikana kimetupwa mjini Instabul
Mwanaume mmoja mpenzi wa jinsia moja raia wa Syria amechinjwa na kiwiliwili chake kutupwa mjini Instabul Uturuki.

Kichwa chake hakijulikani kilipo.
Hata hivyo wapiganiaji haki za wapenzi wa jinsia moja nchini Uturuki wameutambua kiwiliwili hicho cha raia huyo wa Syria huku wakisema kuwa alikuwa ameteswa kabla ya kuchinjwa.
Wapenziwe mtu huyo wanasema kuwa majuzi tu alikuwa ameshikwa na watu wasiojulikana na kubakwa na kundi la watu.

Kwa mujibu wa washirika wake Muhammad Wisam Sankari alikuwa ametishiwa maisha mara kadhaa na makundi ya wanaume.

Wameiambia shirika moja la kutetea haki zao kaosgl.org, kuwa maisha yao yamo hatarini.

Sankari, aliwasili Uturuki mwaka uliopita na alikuwa akiishi katika mji wa Instabul kabla ya kiwiliwili chake kupatikana katika mitaa ya Yenikapi mnamo julai tarehe 25.

Kaosgl.org, inasema kuwa Sankari alijaribu kuomba uhifadhi katika mataifa mengine baada ya kubakwa yapata miezi mitano iliyopita.

''Tulijaribu kuomba msaada wa ulinzi wa polisi baada yake kutekwa na kisha kubakwa miezi mitano iliyopita lakini hatukufaulu kupata chochote''

Polisi wa Uturuki walitibua maandamano ya wapenzi wa jinsia moja mjini Instabul mwezi Juni.
Rafiki wa karibu wa marehemu Diya, anailaumu umoja wa mataifa kwa kushindwa kuwalinda watu wa jamii hiyo yao.

''Kila mara wanapokutaka nawe uwe hujapenda huwa wanakuandama na kukutoa uhai''
Mwandishi wa BBC aliyeko Uturuki Cagil Kasapoglu amesema kuwa mashambulizi mengi dhidi ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja huwa hayaripotiwi kwa vyombo vya dola.

Kumekuwa na visa 5 vya mauaji ya wapenzi wa jinsia moja na mashambulizi 32 mwaka uliopita.
Katika wakati huohuo watu 3 walipatikana wamejitia kitanzi.
Sasa kama walimbaka anatofauti gani nao!! Wao ni tigo user yy ni tigo supplier!! AF utawasikia wanatupia wanalaumu wazungu kumbe wao n vinara Ila sema wanajustify dhambi kwa kutumia dhambi nyingine!!
Wote watiwe kiberiti that will be justice
 
Duh kumbe! Maandamano ya wapenzi wa jinsia moja ISTANBUL-UTURUKI,
Shoga anabakwa UTURUKI,
Shoga huyu alitokea na ni raia wa SYRIA,
Shoga anaitwa MUHAMMAD Wisam Sankari!!!
Mama weeeeeeee! Kumbe!
Huko ndiko walikotokea
 
Mtu kauliwa kwa sababu ni gay wewe unaleta maswali yako ya ushuzi ,akili mbovu tuu imekujaa
statement yako inaharalisha hayo matendo in the name ya kwamba huu ni wakati wake...sijaona ukilalamikia mtu kuharalisha zaidi ya kutaka watu wakubaliana na hiyo hali kwamba sababu eti ni age ya hayo mambo.
 
So sad for that man. May he rest in peace!
And those murderers think God woll welcome them into heaven after raping and killing mwanadamu mwenzao!

Unfortunately that's what these fools think!...mashetani wengine hapo wanashabikia mauaji na ukatili huu!.....
 
Safi sana masenge sio yakuachwa
Shetani muuaji mkuu wewe.........ujaribu ushetani wa kuua mtu karibu yangu!...ntahakikisha umehukumiwa kinyongo!...kelbu ibilisi wewe!
Watu kama wewe mnafaa kupigwa vita vikali, itabidi hata sheria zitungwe kuwshughulikia mlipo au server zizimwe, matamshi kama yako ya kushabikia mauaji yafutiliwe kabisa duniani, tatizo ni nchi za kishenzi, nchi duni ,chafu masikini yaliyojaa ushuzi na imani zikiwemo za kishirikina kukosa kuelimisha wanaoishi humo kuwa hali hii ni kawaida kabisa kwenye bailojia/saikolojia ya binadamu!
 
The cure to homosexuality which is a disease of mind and soul is death.
Tatizo ni kukosa elimu, nakusamehe kwa kuwa hulijui usemalo.....kama kuna ibilisi duniani ni watu kama wewe!
zaa wako ukamuue!
pepo mchafu!
 
Hawa mashoga wanachukiwa sana. Sijui kama wanajua.
May be kwasababu wanaona wanafuatwa kuliwa jicho wanadhani wanapendeka.

Ila nchi zetu za afrika bhana.
I think na mabasha pia walipaswa kuwekwa kundi hili. Manake hawa mapunga hawashiriki peke yao huu usodoma.
 
Kiwiliwili cha bwana Sankari' kimepatikana kimetupwa mjini Instabul
Mwanaume mmoja mpenzi wa jinsia moja raia wa Syria amechinjwa na kiwiliwili chake kutupwa mjini Instabul Uturuki.

Kichwa chake hakijulikani kilipo.
Hata hivyo wapiganiaji haki za wapenzi wa jinsia moja nchini Uturuki wameutambua kiwiliwili hicho cha raia huyo wa Syria huku wakisema kuwa alikuwa ameteswa kabla ya kuchinjwa.
Wapenziwe mtu huyo wanasema kuwa majuzi tu alikuwa ameshikwa na watu wasiojulikana na kubakwa na kundi la watu.

Kwa mujibu wa washirika wake Muhammad Wisam Sankari alikuwa ametishiwa maisha mara kadhaa na makundi ya wanaume.

Wameiambia shirika moja la kutetea haki zao kaosgl.org, kuwa maisha yao yamo hatarini.

Sankari, aliwasili Uturuki mwaka uliopita na alikuwa akiishi katika mji wa Instabul kabla ya kiwiliwili chake kupatikana katika mitaa ya Yenikapi mnamo julai tarehe 25.

Kaosgl.org, inasema kuwa Sankari alijaribu kuomba uhifadhi katika mataifa mengine baada ya kubakwa yapata miezi mitano iliyopita.

''Tulijaribu kuomba msaada wa ulinzi wa polisi baada yake kutekwa na kisha kubakwa miezi mitano iliyopita lakini hatukufaulu kupata chochote''

Polisi wa Uturuki walitibua maandamano ya wapenzi wa jinsia moja mjini Instabul mwezi Juni.
Rafiki wa karibu wa marehemu Diya, anailaumu umoja wa mataifa kwa kushindwa kuwalinda watu wa jamii hiyo yao.

''Kila mara wanapokutaka nawe uwe hujapenda huwa wanakuandama na kukutoa uhai''
Mwandishi wa BBC aliyeko Uturuki Cagil Kasapoglu amesema kuwa mashambulizi mengi dhidi ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja huwa hayaripotiwi kwa vyombo vya dola.

Kumekuwa na visa 5 vya mauaji ya wapenzi wa jinsia moja na mashambulizi 32 mwaka uliopita.
Katika wakati huohuo watu 3 walipatikana wamejitia kitanzi.
Duuuh.. Kwa hyo wamemla kwanza ndo wakamnyonga... Kwenye suala la kumlamba kwanza sio poa kabisa.. Ila hilo la kumnyonga poa tu...
 
Raymond wa wcb n shoga au??
Sijakuelewa
Unauliza Swali au anavaa Hereni na Macho anarembua au hujaona picha!!
Safi.sanaaa ....

Back
Top Bottom