Sista
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,208
- 1,038
Ushauri tuliopewa kinadada kutoka blog moja maarufu.
"Enyi wanawake tambueni.Kwa mila na desturi zetu za kiafrika nasema hivyo kwasababu ndo nizijuazo zingine sijui.Mwanaume anayekuomba hela wewe kila wakati angali naye ana kazi tena wakati mwingin nzuri zaid yako.Kimbia adi unyayo ufikie goti.
Hakuna mapenzi ndugu apo Huyo ni marioo na he is after money.
Na ndo mana anataka kumuoa mwenye pesa zaid Ondoka mamaa kabla hajakuingiza hasara zaidi.
Hebu kwa pamoja tushirikiane tutokomeze midume inayotamani kuwa treated like women.Imejaa tele mitaan hawana mapenzi wenyewe ni pesa."
MIMI BINAFSI MWANAMME MPYA AKINIOMBA KIPESA CHANGU AU AKATEGEA KULIPIA BILI FULANI SIO SIRI NAMWACHA KISAILENSA!!! N.B huyu ni mpenzi tu na sio mume wa ndoa!!! kiruuuuu
cc: Heaven on Earth tinna cute shikamoo Nyani Ngabu amu Bulldog Excel halafu OLESAIDIMU unapenda mteremko wewee