Lubebenamawe
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 1,985
- 2,295
Ushauri tuliopewa kinadada kutoka blog moja maarufu:-
"Enyi wanawake tambueni.Kwa mila na desturi zetu za kiafrika nasema hivyo kwasababu ndo nizijuazo zingine sijui.Mwanaume anayekuomba hela wewe kila wakati angali naye ana kazi tena wakati mwingin nzuri zaid yako.Kimbia adi unyayo ufikie goti.Hakuna mapenzi ndugu apo Huyo ni marioo na he is after money.Na ndo mana anataka kumuoa mwenye pesa zaid Ondoka mamaa kabla hajakuingiza hasara zaidi.Hebu kwa pamoja tushirikiane tutokomeze
midume inayotamani kuwa treated like women.Imejaa tele mitaan hawana mapenz wenyewe ni pesa."
MIMI BINAFSI MWANAMME MPYA AKINIOMBA KIPESA CHANGU AU AKATEGEA KULIPIA BILI FULANI SIO SIRI NAMWACHA KISAILENSA!!! N.B huyu ni mpenzi tu na sio mume wa ndoa!!! kiruuuuu
cc: Heaven on Earth tinna cute shikamoo Nyani Ngabu amu Bulldog Excel halafu OLESAIDIMU unapenda mteremko wewee
Sista.Unawarudisha wenzako kwenye mfumo dume wanaupinga kila siku!!! Huoni hata katiba mpya imeweka 50 kwa 50. Chukulia wewe (ke) umebahatika kuwa mbunge ukiingia mjengoni kwa siku una Tsh330000 mwenzi wako (me) ni mshika chaki shule za kata kwa mwezi anapata Tsh 450,000/= je akiomba pesa utammwaga?? Au utaacha kumtunza ili aendane na hadhi yako? Usipomtunza utamwona si hadhi yako matokeo ya utalala na kina mh kapteni komba na mh wasira ambao ni waheshimiwa wenzako.
Last edited by a moderator: