Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 117
- Thread starter
- #21

Anavyokusumbua wewe...

maalim ni vitu gani unavyoona ni usumbufu kwako????

1-Kutaka penzi kila siku.
2-ukimya.
3-Kujua zaidi bila kusikiliza hujja.
4-Kutofuata taratib za deen/iman. Pande zote mbili.
5-....................
6-.....................

ni suala la muda tu na inawezekana labda hupigi mikito ya kutosha unamwacha na hamu ndo maana anahitaji kila siku ..

unatakiwa wewe na yeye muweze kuongea na hii inatokana na tabia na hulka zenu

inaonekana hujiamini katika kutoa hoja zako ndo maana anakuwahi kujua kabla yako au kabla hujafikia tamati unayotaka kusema

inatakiwa usimamie kwenye dini na umpe muongozo

Mapenzi ni kitu kingine,utasema unajitoa kwenye mapenzi but utarudi tu mda wowote,cha msingi kama tatizo linatatulika kaa tu chini na waza mara mbili,maana kwa mtindo huo we kila siku utakuwa wa kuumia tu

2- nmecheka hapo!
Unajua mambo mengine bana! Hadi niseme? Kazi hapo ipo/naitumia kiasi chake.
Kama ni hilo usijarib kama wewe ni m/ke hutansahau. Unaweza kumwacha m/me wako!.
Situmii chochote ni utaalam.
Nisaidie na hili:ikiwa mpenzi anakusumbua unafanyaje? Unajitahid kumwelewesha kama maelekezo yako mazuri lakin anakua hakuelewi..wafanyaje?

Kaka vionjo hivyo.....

we unataka kirahisi tu!