luangalila JF-Expert Member Jan 12, 2014 6,325 6,871 Jul 12, 2020 #1 Ni sahihi kuanzisha mahusiano na mtu unayekutana naye social network ? Hili swali nafahamu sio ngeni masikion mwenu embu na leo tulighamue (review)
Ni sahihi kuanzisha mahusiano na mtu unayekutana naye social network ? Hili swali nafahamu sio ngeni masikion mwenu embu na leo tulighamue (review)
Half american JF-Expert Member Sep 21, 2018 26,028 68,189 Jul 12, 2020 #2 Ni sahihi ila kuna vipaumbele kabla ya kuanzisha mahusiano nadhani unazungumzia mahusiano ya kimapenzi ujaspecify ni mahusiano ya aina gani.
Ni sahihi ila kuna vipaumbele kabla ya kuanzisha mahusiano nadhani unazungumzia mahusiano ya kimapenzi ujaspecify ni mahusiano ya aina gani.