Kwisha habari yako!๐Kwaiyo sisi wafupi wenye hela zetu hamtutaki Unataka warefu wenzio ili mzae mangongoti? Eet
Mimi huwa sitoi michango ya harusi braza. Nitakuchangia kwenye ishu zingine lakini siyo harusi! ๐๐ฟ
Mpwa hebu changia ndoa hiyo๐Mimi huwa sitoi michango ya harusi braza. Nitakuchangia kwenye ishu zingine lakini siyo harusi! ๐๐ฟ
Siku hizi umekuwa match maker? Fimbo zinakuhusu wallahi maana wakishindwa kuelewana huko lawama zote zitakurudia wewe uliyewamechisha. Bi keafu! ๐๐๐๐๐ฟโโ๏ธ
Kuchangia ndoa miyeyusho tu mpwa...Mpwa hebu changia ndoa hiyo๐
Naona usingiz umekata tu ๐Kuchangia ndoa miyeyusho tu mpwa...
Na saa 9 yote hii uko macho unafanya nini mpwa? Daktari hayupo ama? ๐ณ๐ณ๐ณ
Mkuu unataka kuhalalisha kulala uchi mbele ya kadamnasi
๐๐๐Siku hizi umekuwa match maker? Fimbo zinakuhusu wallahi maana wakishindwa kuelewana huko lawama zote zitakurudia wewe uliyewamechisha. Bi keafu! ๐๐๐๐๐ฟโโ๏ธ
Mrukaji mwenyewe nani? Wewe? You are too good-hearted kuruka mtu sana sana utaanza tu kujieleza how good your intentions were in suggesting those matches, how bad you wanted them to succeed....etc etc ๐๐๐๐๐ฟโโ๏ธ๐๐๐
watanisamehe sababu wakigombana nitawaruka hawataamini kabisa..!!
๐๐๐๐Mrukaji mwenyewe nani? Wewe? You are too good-hearted kuruka mtu sana sana utaanza tu kujieleza how good your intentions were in suggesting those matches, how bad you wanted them to succeed....etc etc ๐๐๐๐๐ฟโโ๏ธ
Eeh mkuuMkuu unataka kuhalalisha kulala uchi mbele ya kadamnasi
Hutak kuchangia matatizoMimi huwa sitoi michango ya harusi braza. Nitakuchangia kwenye ishu zingine lakini siyo harusi! ๐๐ฟ
Eeh mkuu
Kama ilivyoandikwaa๐
Thank you for your good intentions ๐๐๐๐๐
and how did you know that..?? My intentions were purely genuine,
And you're so 'damnly' right, I love to see people happy in love..!!
Amen ahsante sana ๐Mungu akupe hitaji la moyo wako , na akupe mume mwema ! Toka 2020 hope anakuandalia kitu chema na kizuri zaidi usikate tamaa !!