makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,506
- 108,662
Kanisave bolizozo
Nime save (A 1 Mrs) kuhakikisha namba yake inakuwa ya kwanza kwenye phonebook kwa kila simu ninayotumiaMrs (Jina langu)
Kumbe kuna kufanana mawazo,,sikwenda tuu kwa undani ila mimi ipo hivi; ya kwanza kabisa ni AMr.(jina langu) ya pili ni AMrs.(jina langu) halafu hakuna saving nyingine yoyote inayoanza na "A"Nime save (A 1 Mrs) kuhakikisha namba yake inakuwa ya kwanza kwenye phonebook kwa kila simu ninayotumia