Mpenzi/mke/mume umemsave/amekusave jina gani?

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Kwa kawaida wanandoa,, au wapenzi wanatabia ya kuseviana majina kwa mitindo tofaut,, wengine kwa mitindo ya kimahaba mathalani Honey,, switie nk,, wengine wamesave Baba fulani au mama fulani,, wengine majina ya vituko Kama vile Mbwa ( Kama mmoja kati ya wadau wa JF alivyotushudia), paka, kenge, nguruwe, muuza mkaa nk

Binafsi Mimi nimemsave simple tu "wife',, pia yeye kanisave "Husband"

Je wewe mpenzi wako umemsave/kakusave jina gani??

Karibu
 
Nimemsev "Aroosah"..... (Japo anaitwa mercy).

Kanisev " Hubby"..
 
Kwa kawaida wanandoa,, au wapenzi wanatabia ya kuseviana majina kwa mitindo tofaut,, wengine kwa mitindo ya kimahaba mathalani Honey,, switie nk,, wengine wamesave Baba fulani au mama fulani,, wengine majina ya vituko Kama vile Mbwa ( Kama mmoja kati ya wadau wa JF alivyotushudia), paka, kenge, nguruwe, muuza mkaa nk

Binafsi Mimi nimemsave simple tu "wife',, pia yeye kanisave "Husband"

Je wewe mpenzi wako umemsave/kakusave jina gani??

Karibu
My Soulmate ❤💓💕💗💖💝
 
Back
Top Bottom