Mpenzi likizoni (mtu mzima)

Ukija nenda CORNER BAR,JOLLY CLUB, UWANJA WA FISI, BUGURUNI aisee u wont regret every dime you spend l.o.l
 
Hayo majimama yanakufanyeni uchum unaboreka? Fanyeni kaz bana mcpende kulelewa!
sure......:disapointed: uchumi mbaya, masista duu wanatoka na mababa zetu, wat choice do we have!!! TUNAPENDA MAJIMAMA!!!! :love: I NEED 1 TOO!! :help:
 
katafute sehemu hizo ulizoambiwa,humu kuna wadada wenye heshima zao tu:tape:
 
hahaha...umeona eeeh...tena anasisitiza hataki makuu..halaf ana miaka 33 anatafututa mpenzi wa week 2 wa miaka 45..dunia kwishnei, ngasthuka
vijana wa siku hizi kwa kupenda kulelewa! eti mtu mzima?!
 
sure......:disapointed: uchumi mbaya, masista duu wanatoka na mababa zetu, wat choice do we have!!! TUNAPENDA MAJIMAMA!!!! :love: I NEED 1 TOO!! :help:
Nawe pia unahitaji? Hapa sidhani kama mtapata....
 
sure......:disapointed: uchumi mbaya, masista duu wanatoka na mababa zetu, wat choice do we have!!! TUNAPENDA MAJIMAMA!!!! :love: I NEED 1 TOO!! :help:
dah!! kwa mtaji huu sijui! hakuna taifa la kesho aiseee!
 
hahaha...umeona eeeh...tena anasisitiza hataki makuu..halaf ana miaka 33 anatafututa mpenzi wa week 2 wa miaka 45..dunia kwishnei, ngasthuka
ndio hapo sasa, mtoto mdogo anataka kujizeesha na mimama! tena anatoka Holland ashindwe kumuimbisha kijana mweinzie mpaka waelewane!?
 
mambo ya Holland hayo mapenzi kwa mkataba, nakushauri uende Jolly club, Malapa maeneo ya Buguluni, mabatini maeneo ya bibi titi, uwanja wa fisi - Manzese wapo wa kutosha hata ukitaka wa mkataba wa siku moja au masaa
 
Nakuja nyumbani Tanzania mara moja kutoka Holland mbako nasoma. Likizo yangu ni ya wiki 2, natafuta mtu mzima wa kula naye goodtime kwa kipindi nitakapokuwepo Bongo (DAR). Umri kuanzia 28-45 ili mradi tutaridhishana na ku enjoy kama watu wazima. Nina umri wa miaka 33. Basi kama vipi, nitumie INBOX ilimradi siyo mtu wa kutaka makuu, kwani sina makuu, ninachotaka ni kependana na kula goodtime………..

NAPENDA MTU MZIMA KWA SABABU MAPENZI YAO NI MATAMU MNO, na yatanifanya kujisikia niko Nyumbani.....MWANAMKE SIYO MWANAMME....... SIFANYI USHENZI HUO....NO MWANAMME

Oookey nimekuelewa kidogo .....umetokea holland hujawa specific hiyo sponsorship ni yako mwenyewe au ni ya waholanzi? because I know them.Halafu inaelekea huyo unayemhitaji ni for goodtyme ya field au?
 
Nakuja nyumbani Tanzania mara moja kutoka Holland mbako nasoma. Likizo yangu ni ya wiki 2, natafuta mtu mzima wa kula naye goodtime kwa kipindi nitakapokuwepo Bongo (DAR). Umri kuanzia 28-45 ili mradi tutaridhishana na ku enjoy kama watu wazima. Nina umri wa miaka 33. Basi kama vipi, nitumie INBOX ilimradi siyo mtu wa kutaka makuu, kwani sina makuu, ninachotaka ni kependana na kula goodtime………..

NAPENDA MTU MZIMA KWA SABABU MAPENZI YAO NI MATAMU MNO, na yatanifanya kujisikia niko Nyumbani.....MWANAMKE SIYO MWANAMME....... SIFANYI USHENZI HUO....NO MWANAMME

Unataka kutafuna watu waima eeh? ww sasa un ataka usiione Holland tena maana nahakika utanasa tu.

Km unakuja likizo njoo ufurahi na ndg zako siyo kukimbilia mashangingi ya town yatakuua kwa ngoma:A S-key:
 
ndio nataka mtu mzima kwa ajili ya kufanya nae mapenzi. sitaki changu; nataka mt mwenye heshima zake

Mwenye heshima zake huwezi kumpata labda uende sewa,kwamacheni,uwanjawafisi au mtaa waghana. Huhitaji kutangaza humu jf kuna blog siku hizi nyingi zinauza hao unaowataka! Google utawapata wenye akili mbovu kama ww
 
Tumeshakuzoea sijui unatumia mode gani?
Formal?, micro-political?, collegeous?, ambiguity?, au administrative? Kila sekunde unajiresi.

Ha ha ha ha ha uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nicheke ninenepe mie pole sana kama nakukwaza mkuuu sikujua
 
Mkuu kama kuwa Ulaya ndo hizo ndo effects zake, then me wanangu watakula vumbi hapa hapa bongo..:tape::tape:
 
Hawa wakaao nje yaelekea wana upweke sana, wakirudi likizo wanatafuta wa kula naye bata, wazungu wanawatolea nje nini? here iam mkuu nimejaa tele.
 
Mwenzenu hakutaka kusema au kutoa ahadi nyingi za uongo au maneno mengi; kasema anachotaka na kwa maneno machache. Kimsingi hana sera za muda mrefu sera zake ni za wakati wa "likizo" na "good tyme". Kitu ambacho hatujui ni yule/wale wataozikubali sera hizo watanufaika vipi? Isije kuwa gia pekee ni hiyo ya "kutokea Uholanzi".

Nakushauri Mwingereza?? (sielewi kwanini ni Mwingereza na si Mholanzi) ni kuwa weka sera zake kwa herufi ndogo ukiweka ni kwa namna gani huyo unayemtaka (mtu mzima) atanufaika maana siwezi kushangaa wapo watu wazima ambao wanaweza kukupa good time ya ukweli kama "the price is right".

On the other hand, huyo utakayetokana na likizo akitaka mrudi wote Uholanzi itakuwaje?
 
hahahahaha! Mwenzenu anatafuta mtu mzima ampe penzi apewe ada ya shule.
Lol!
 
Dahh kwa kweli na hayo maugonjwa je??
Je marafiki zako uliowaacha home ??
kwa nini usiende kuwapa wao good time..

Khaa tusidanganyane
we jifanya umetoka ulaya
na pesa zako ngoja ukutane
na wajanja .. utarudi Holland unalia..
tena ndo ajue uko hapo kwa 2 weeks..
mmhhh all the best ..
 
Nakuja nyumbani Tanzania mara moja kutoka Holland mbako nasoma. Likizo yangu ni ya wiki 2, natafuta mtu mzima wa kula naye goodtime kwa kipindi nitakapokuwepo Bongo (DAR). Umri kuanzia 28-45 ili mradi tutaridhishana na ku enjoy kama watu wazima. Nina umri wa miaka 33. Basi kama vipi, nitumie INBOX ilimradi siyo mtu wa kutaka makuu, kwani sina makuu, ninachotaka ni kependana na kula goodtime………..

NAPENDA MTU MZIMA KWA SABABU MAPENZI YAO NI MATAMU MNO, na yatanifanya kujisikia niko Nyumbani.....MWANAMKE SIYO MWANAMME....... SIFANYI USHENZI HUO....NO MWANAMME

Ujinga mwingine sio wa kuleta mbele ya jukwaa lililosheheni watu wenye akili zao. Pambafu kabisa peleka ujinga wako FB
 
Back
Top Bottom