Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,175
- 34,410
Ndio mwanzo huo, baadae utaona kawaida tu...utashangaa unajaza "haic" baada ya mda mfupi..
mnnnh!! Kwa staili hii ile proposal yako ya kuwa my Sukuma Boy sitakiiiiiiii!! lol
Ndio mwanzo huo, baadae utaona kawaida tu...utashangaa unajaza "haic" baada ya mda mfupi..
Tatizo kibamia mkui
Picha ya nini tena mkuu?woka pocha mkiu!
Teh ila vibamia wanakimbiaga wao
mnnnh!! Kwa staili hii ile proposal yako ya kuwa my Sukuma Boy sitakiiiiiiii!! lol
Ni miezi takribani 2 sasa sijaskia sauti ya mpenzi wangu huyu, mara ya mwisho nawasiliana nae nilihoji mwenendo wake lakini alinipa ahadi nyingi sana kiasi kwamba nikahis kichwa kipo hiv :A S 465::loco:.. ila usema kweli baada ya hapo sikuwahi kumpata tena kwenye simu, kila nikipiga namba zake simpati kabisa. Mbaya zaidi sehemu alikua anaishi mwanzo alishahama. Kwa kweli sina cha kusema nipo hiv :tape: na sasa naamini mpenzi kapotea na kapeperuka hiv :flypig:. Kwa hiyo waungwana hayo ndo niliyoanza nayo huu mwaka. Yaani kwa sasa siamini amini :A S 13: halafu ukizingatia ndo mpenzi wa kwanza huyo.......
"We may run, walk, stumble, drive, or fly, but let us never lose sight of the reason for the journey, or miss a chance to see a rainbow on the way"
hahaha...
Ile proposal usiikatae, kijana ndo amefungua chapter mpya katika maisha ya malove, inabidi tumsaidie hata kwa kuongeza chumvi..lol.
mambo....!Such is life my friend.
Pole.
Poa!!!!
Want some?:redface:
hata mimi poa!!!
Poa, yes you want to give me some...?Poa!!!!
Want some?:redface: