Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,720
Ni miezi takribani 2 sasa sijaskia sauti ya mpenzi wangu huyu, mara ya mwisho nawasiliana nae nilihoji mwenendo wake lakini alinipa ahadi nyingi sana kiasi kwamba nikahis kichwa kipo hiv :A S 465::loco:.. ila usema kweli baada ya hapo sikuwahi kumpata tena kwenye simu, kila nikipiga namba zake simpati kabisa. Mbaya zaidi sehemu alikua anaishi mwanzo alishahama. Kwa kweli sina cha kusema nipo hiv :tape: na sasa naamini mpenzi kapotea na kapeperuka hiv :flypig:. Kwa hiyo waungwana hayo ndo niliyoanza nayo huu mwaka. Yaani kwa sasa siamini amini :A S 13: halafu ukizingatia ndo mpenzi wa kwanza huyo.......
"We may run, walk, stumble, drive, or fly, but let us never lose sight of the reason for the journey, or miss a chance to see a rainbow on the way"
"We may run, walk, stumble, drive, or fly, but let us never lose sight of the reason for the journey, or miss a chance to see a rainbow on the way"