Mpenzi huyu yapi yamemsibu?

Mpenzi huyu yapi yamemsibu?

Raia Safi

Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
53
Reaction score
9
Mpenzi wangu wa muda mrefu aninishangaza!
Mimi nilisafiri kwa takribani mwaka mmoja lakini tulikua tunawasiliana kama kawaida
Baada ya kurudi tukawa pamoja kama kawaida lakini nilianza kuona dalili ambazo hapo awali sikuzihisi
Kila tunapotaka kufanya tendo la ndoa yeya hutaka ageuke kunipa mgongo na tunafanya kama kawaida,kadri siku zilivyopita siku moja nkamuuliza mbona siku hizi unapenda sana kwa style hii ya kugeuka tofauti na hapo awali? Alinijibu kwani wewe unaogopa kukosea njia? Nikijua ni utani nikajibu nikweli ikitokea nikakosea si itakua vibaya? Alicheka na kusema kweni hii njia unayopita sikuzote si yangu na hio utakayo kosea nayo si yangu unawasiwasi gani? Nlishangaa kidogo kwani alionge kwa maskhara,kesho yake tulipoanza aligeuka na kusema leo kosea njia tuone itakuaje wala uosiogope!!!! Kwakweli nilinywea hapohapo na sikuweza kurudi tena ktk hali ya kutenda! Ajabu tangu siku hio amekua hataki nikutane nae kimwili! Nipeni ushaulri,mbona awali hakua hivi kabla sijasafiri???
 
Jf ni zaidi ya shule, peleka post yako MMU watu wakupe mapwent na maushauri, hili jukwaa umekosea. By then pole sana, tukutanae MMU b'dae..
 
Pole sana kaka ni maisha tu! Coz inaonyesha huyo ni msaliti wakati haupo alikuwa anatumia hiyo njia kukusaliti! Ni mtazamo wangu!
 
Inawezekana kabisa kwani kabla ya kusafiri sikuwai kuhisi tabia hio!
Nimepiga moyo konde japo nampenda,nishukuru mungu yeye ndo ameacha kuja labda anaenda kwa huyo alomfundisha mambo hayo!
 
Pole sana huyo hakufai tena maana akija kuzaa atakuumbua kwa manesi
 
Mpenzi wangu wa muda mrefu aninishangaza!
Mimi nilisafiri kwa takribani mwaka mmoja lakini tulikua tunawasiliana kama kawaida
Baada ya kurudi tukawa pamoja kama kawaida lakini nilianza kuona dalili ambazo hapo awali sikuzihisi
Kila tunapotaka kufanya tendo la ndoa yeya hutaka ageuke kunipa mgongo na tunafanya kama kawaida,kadri siku zilivyopita siku moja nkamuuliza mbona siku hizi unapenda sana kwa style hii ya kugeuka tofauti na hapo awali? Alinijibu kwani wewe unaogopa kukosea njia? Nikijua ni utani nikajibu nikweli ikitokea nikakosea si itakua vibaya? Alicheka na kusema kweni hii njia unayopita sikuzote si yangu na hio utakayo kosea nayo si yangu unawasiwasi gani? Nlishangaa kidogo kwani alionge kwa maskhara,kesho yake tulipoanza aligeuka na kusema leo kosea njia tuone itakuaje wala uosiogope!!!! Kwakweli nilinywea hapohapo na sikuweza kurudi tena ktk hali ya kutenda! Ajabu tangu siku hio amekua hataki nikutane nae kimwili! Nipeni ushaulri,mbona awali hakua hivi kabla sijasafiri???

Kashaliwa kipopobawa huyo!ACHANA NAE!
 
mshauri madhara yake kimwili(kiafya) na ki-imani,labda yeye anajua hakuna shida ni starehe tu,
kama hataki kusikia achana nae kabisa,mimi ishawahi nitokea, nikambwaga mbaya,sitaki hata kusikia mamo ya tigo
 
Ooh man pole sana inaonekana huyo kwisha habari yake piga moyo konde mwache aende.
 
ni pm namba yake ya simu nimtafute nimpe ushauri nasaa na vipimo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom