mtazamo_binafsi
New Member
- Mar 20, 2026
- 1
- 0
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa late 30’s, mkristo kwa imani. ambaye kwa sasa nina mtoto mmoja, yupo shule na nakuwa nae kipindi cha likizo. Kiufupi naishi nae. Nafanya kazi katika sekta binafsi lakini pia nafanya na sekta ya umma kwa vipindi tofauti tofauti.
Kiufupi mimi si mrefu wala si mfupi (170cm - 175cm). Kimuonekano ni mwembamba, mweusi ule wa watu wa bukoba, si mtumiaji wa sigara au vileo vikali zaidi ya wine, pombe zingine ni kwa kubahatisha sana. Ni Mcha Mungu na baada ya mizunguko ya kazi napendelea kuwa katika mazingira ya nyumbani kupata utulivu.
Ninatafuta mwanamke mwenye nia ya dhati ya kuungana nami kutengeneza familia mwenye sifa zifuatazo,
1. Umri: Miaka kati 25 hadi 32
2. Awe mkristo kwa imani (roman ni vizuri zaidi)
3. Asiwe na mtoto (nitamweleza ni kwanini wakati mimi ninaye).
4. Elimu yake awe amefika na kufaulu kidato cha nne na kuendelea
5. Awe na mwonekano wa wastani asiwe mnene sana au mwembamba sana na urefu wa wastani
6. Kabila lolote linakaribishwa lakini akiwa wa makabila yafuatayo itakuwa vizuri zaidi - Mnyambo, Muhaya, Mchaga au Msukuma.
7. Awe na hali ya kujishughulisha kwa shughuli halali na awe tayari kujumuika katika shughuli binafsi ninazozifanya
8. Awe tayari kuishi maeneo ya Mwanza au popote itakapobidi.
9. Awe Mcha Mungu na mwenye kujisitiri kimavazi, kimatendo, kitabia na mienendo. Kama ni mnywaji wa pombe tutarekebishana lakini asiwe mtumiaji wa pombe kali.
9. Awe hasi kwenye magonjwa ya zinaa na kurithi na awe timamu kiakili na kimwili pia.
Najua wengi watauliza mama mtoto yupo wapi na kwanini nisitafute mtaani nilipo au kwanini nisiende kijijini kutafuta au kuunganishwa na walioko huko lakini nimepita maeneo mengi na zipo sababu za kuja huku. Kwa uchache nilitengana na mzazi mwenzangu yapata miaka 6 sasa na sifahamu chochote kuhusu yeye zaidi ya kumweka mtoto niliyeachiwa katika hali ya kukua akifahamu kwamba mama yupo mbali atakuja akimaliza shule.
Aliye tayari karibu kwa PM