Mpenzi hana msisimko wa kimapenzi

Mpenzi hana msisimko wa kimapenzi

Dhuuu hiii kali kumaa nisha amekinai dushee yako anashindwa tu kukwambia muachane
 
asante sana mkuu
Nmefarijika sana kwa ushauri wako wenye ujumbe wa kujenga zaid
Ubarikiwe sana
Ameen! Utanisamehe kwa uandishi wenye makosa madogomadogo nilikua ktk haraka ila swala lako limenigusa na lilishawahi kunitokea kwny mahusiano ila now mambo yapo sawa kabisa!
 
Ameen! Utanisamehe kwa uandishi wenye makosa madogomadogo nilikua ktk haraka ila swala lako limenigusa na lilishawahi kunitokea kwny mahusiano ila now mambo yapo sawa kabisa!

Skupata shida yoyote mkuu katika kusoma ushauri wako. Maudhui yake nmeyaelewa vizuri kabisa.
 
Mpaka akwambie aikutaki tena labda ndo utaelewa. Fanya maamuzi maana huyo hakutaki tena ila ni kama we umemganda tu. Amejaribu kukwambia indirect lakini huelewi somo. Usipoelewa subiri akueleze sikutaki tena.
 
Back
Top Bottom