Kaka mpe muda hiyo hutokea..kwanza mna muda gn ktk mahusiano? Inatkea tena kwa wanaume na wanawake mtu anakua km anakinai hv ila haimaanishi kia hakupend km wanavyokushauri hapo juu! Kukaa pamoja kwa muda mrefu au kuna vitu ulikua navyo ila ss hv vimechange kias so inaweza pelekea hiyo hali ndio maana ht keny ndoa kuna hicho kipind cha watz kuchokana na ndio hua kinapelekea ndoa nying kuvunjika kwa muda huo km wanandoa wasipokua makini..sababu ww unanpenda na hiyo hali haijakufikia kwa muda huu tafuta suluhisho la kuzidisha mapenz ya nje kwake wala sio kwa chumban kwanza..ongea nae kirafiki km mpenz wako..muende sehem ztazowafanya mfurahi jitahid kumfurahisha trust me mapenz yatarud lazima km anakupenda na hiyo hali ya mpito itaondoka sabab nakuhakikishia dhidi miaka itavyosonga kuna jipindi na ww hiyo hali itakupata ila yy atatumia njia mbadala ili muende sawa na mapenz yenu yataenda vizuri sana..ht mnaweza kupelekea utokeaji wa ndoa takatifu..hivyo vpnd hua vipo kwa kila jinsia na muda wake ndio maana wahenga walisema ndoa ni uvumilivu na kuchukuliana sabab wanajua vitu km hivyo na vingn vingi hutokea! Same kwenye mahusiano!
NB:usipende kufata ushauri wa achana nae sio mamaako mara ex wake anamchukua mpotezee..washaur weng wa hivyo ni waongo na ws bibafsi hawafanyi wanayoandika ia ni wapotoshaji wanaopenda kuonekana vidume mbele ya kadamnasi wakat mapenz hayaendi hivyo..ni kitu cha watu wawili..mnaelimishana..kukosoana..na kuyawwka mambo sawa!
I wish u a goodluck in ur relationship!