Ameisha fanya maamuzi magumu ya kukuachaNachojua ana ex wake ambaye hachoki kumfuatilia
Mwenzako kakukinai sasa. Endelea kumshikilia akulizeBado ninampenda mkuu
Hapo kwa EX wake ndio tabu. Oooooh pole sana nahisi anarudi kwa ex huyu.Nachojua ana ex wake ambaye hachoki kumfuatilia
Suala la muda hilo ni la kuongea nyie wawili. Lakin kabla ya kufanya hivyo.. fanyanuchunguzi wa kina kujua nini kinamsumbua mpenz wako. Maana saa nyingine.. huwa anafuta njia za kukuacha sema tu hawez sema direct.Baada ya Muda gani ni muafaka kuweka mambo kwenye mstari??
Baba we jipange tu upya...... uki mng'ang'ania atakuacha katika mazingira ya msiba mzito. Huyo anakupa taarifa ujiandae kisaikolojia. Piga chini sio mama yako mzazi huyo.......Nachojua ana ex wake ambaye hachoki kumfuatilia
Nachojua ana ex wake ambaye hachoki kumfuatilia
Amua
Kwa zaidi ya wiki tatu mpenzi wangu amekuwa akiniambia hapati hisia zozote anapokuwa faragha na mimi. Imefikia kipindi anaomba nimpe break aweze kujitafakari kama andelee kuwa na mimi au tuachane kabisa. Na mimi bado nampenda.
Je nifanye wakuu, naombeni ushauri.
kama ulimpora toka kwa x wake jiandae anarudi kwake tena...alivyotegemea kwako kakosa mkuu pole sio wako tena jiandae kumwagwa kwa aibu tuu
mpe hela uone