Soldier.......wana maumbile mazuri sana hawa (men)
A soldier's wife is a soldier
Akienda kupigana vita na wewe unaambatana naye
Nimpenzi gani uneweza kumfanya awe mpenzi wako kati ya hawa??
Kati ya hawa niwale wasiokaa ndani kila siku wao niwatu wakuhudumia jamii!!
- Dr.
- Solder
- Nurse
- Taxi driver
- Security
- Police
- Captain
- Airhostes
- Paparaz
he!.....huko vitani hapana.....ye aende akirudi si atanikuta
he!.....huko vitani hapana.....ye aende akirudi si atanikuta
asiporudi ????
Traffic,sina haja ya kufikiria pesa za matumizi home