Mpenzi gani kati ya hawa kama ungetakiwa kuoa/kuolewa??


KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
10,634
Likes
2,450
Points
280

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
10,634 2,450 280
Nimpenzi gani uneweza kumfanya awe mpenzi wako kati ya hawa??
 • Dr.
 • Solder
 • Nurse
 • Taxi driver
 • Security
 • Police
 • Captain
 • Airhostes
 • Paparaz
Kati ya hawa niwale wasiokaa ndani kila siku wao niwatu wakuhudumia jamii!!
 

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Messages
2,262
Likes
264
Points
180

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2010
2,262 264 180
KakaKiiza bwana mi huwa unanifurahisha sana na mada zako. mi ningemuoa polisi ili vibaka wakinivamia anisaidie kuwakabili maana ana mbinu za kufanya hivyo. lakini....tatizo ni wakati anapoenda shift...
 

Zipuwawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
3,052
Likes
94
Points
145

Zipuwawa

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
3,052 94 145
Nimpenzi gani uneweza kumfanya awe mpenzi wako kati ya hawa??
 • Dr.
 • Solder
 • Nurse
 • Taxi driver
 • Security
 • Police
 • Captain
 • Airhostes
 • Paparaz
Kati ya hawa niwale wasiokaa ndani kila siku wao niwatu wakuhudumia jamii!!
Kati ya hawa kuwa mkeo yafuatayo uyakubali
1. Dr ukubali muda wowote ule unaweza kupata dharura na kumkosa hata week nzima.
2.Solder tegemea kulala pekee yako usiku wote mara anapokuwa zamu za usiku na hapo ndipo utakaposaidiwa na masolder wenzie akiwa lindo.
3.Tax driver usitegemee kabisa kuwa nae nyumbani kwani siku kama za sikukuu ndio biashara zinachanganya.
4.Security si mbali sana na solder so tegemea kulala pekee yako.
5.Capt huyo nae tegemea kuwa nae siku moja moja.
6.Airhostes unatakiwa kuwa mvumilivu sana hasa pale unaposikia kuwa hali ya hewa imechange hivyo watalala sehemu fulani.
7.Papalaz tegemea mengi kutoka kwake hasa vikao vya kushtukiza.

NOTE:
Swala la mke au mme wa kuoa Muombe Mungu akupe chaguo lake!
 

Forum statistics

Threads 1,204,401
Members 457,242
Posts 28,156,635