Mpenzi ataki kusex

Hahahaha.... FYI hapa anayeandika hii posti ni Mhandisi wa Mitambo... kwa kiinglishi ni Mechanical Engineer. Haya ukuje pande hii nikupigie mahesabu ya kukuhundumula kwa mdondoko wa Projectile Motion.

baaasiiii tou are a man to marry a woman.........................binafsi ni mrs engineer tena wa highway&transportation najivunia sana kwani kwake kila kitu kinapigiwa hesabu kamili so hakuna kuzid wala kupungua.
 
Join Date : 24th July 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given1

Umeingia JF jana kwa ajili ya kuuliza taka taka hiyo?

Mod ondoa ushenzi wa huyo ndugu hewani.....Shame on U.
siku nyingine usikurupuke kama huna ushauri kwa mtu mwenye tatizo. hapa hakuna vigezo vya muda kupata ushauri.
 
nina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.
Lazima umkague kabla ya kumuoa kama matarajio yako ni kuoa,chunga sana unaweza kuoa mgumba kwani haujui maisha yake ya nyuma yalikuwaje au unaweza kuoa mwanamke asiye na maumbile ya kike(Vagina) au she-male au hana kizazi alishatoa mimba na kizazi chake siyo jambo dogo hili limeshawahi kumtokea mchungaji mmoja wa Marogoro tena wa kanisa la kilokole yamebaki majuto kwake.Wazee wa kanisa walimsaidia tu huyo mchungaji kwa namna wanayojua wao lakini siyo kwa mujibu wa maadili ya dini yake.
 
mmh, gfsonwin una mambo weye....

kwani uongo eti kaka yangu cartura? hawa si huwaga wanajua kabisa kwamba pozi hili rate of friction itakuwa kubwa, hapa nimebakiza sekunde kazaa so nikiachia shuti lazima litakwenda concurrent nk. miye nawadmire sana wahandisi manake wamenioa.
 
Last edited by a moderator:
kwani uongo eti kaka yangu cartura? hawa si huwaga wanajua kabisa kwamba pozi hili rate of friction itakuwa kubwa, hapa nimebakiza sekunde kazaa so nikiachia shuti lazima litakwenda concurrent nk. miye nawadmire sana wahandisi manake wamenioa.

:flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig:
 
mmmh ngoja nicheck kanuni za jf zinasemaje i will be back with constructive chickencodioccisfowlpox criticism

uzuri ni kwamba utapigia kwenye screen tu ila mind set wapiii! huwez aisee..................manake sikuzote aisifiaye mvua imemnyea au umesahau?
 
makubwa nini nina mpenzi wangu siku ya kwanza nilipo mtongoza kesho kutwa yake nikajilia mzigo taratibu yani kwangu kwake kwangu kwake na alilijipimia mwenyewa sas nini miaka 7 kwenye mahusiahano yetu tunapendana vya kutosha ,,,,,,akikata usili mzigo temana naye isije mishapa yako ya kupitisha mbegu za kiume ikaziba bure mtoto wa watu

nawsilisha kutoka muhimbili

:biggrin1::biggrin1: unawasilisha kutoka muhimbili manake we badala ya kuhudumia wagonjwa uko humu JF...

Sasa demu anasema anaogopa akimpa atamuacha sasa hata akisubiri mpaka mwakani afu ampe si atamuacha hiyo mwakani tuu..mademu wengine bana wananifurahisha sana
 
nina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.

Kama ulivyoambiwa hapa una siku moja, je umri wako ni miaka mingapi? usituletee uzinzi hapa tunaelimishana
mambo ya uzinzi usilete tena> kama huwezi kuvumilia pita mitaa ile wanayokaa dada poa vinginevyo oa.
 
nina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.

Kama kweli unampenda nenda kajitambulishe kwao muanze taratibu za kufunga ndoa ili mkishaoana muingiliane bila vikwazo.
 
Join Date : 24th July 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given1

Umeingia JF jana kwa ajili ya kuuliza taka taka hiyo?

Mod ondoa ushenzi wa huyo ndugu hewani.....Shame on U.

kwani kuna kosa gani kuuliza hivyo au ukijiunga leo usubiri mpaka lini? ndio upost kitu?
 
du! hapo Ww ndye mwenye matatzo
Kwan Mienendo ya mpenz wako kwako...Inaonesha Hana Mapenz Nawe?

vlvl ww Inaonesha Huna Mapenz Ya Dhat Kwa Huyo Mwanamke Mpaka Ngono Ihusishe!
Kwa 7bu Unaamin Bila Ngono Hakuna Upendo Ktk Mahusiano Ya Mapenz
ANGALIZO:Ni bora kuanzia Sasa Ukajifanya Kutokuwa Kwake Kingono zaid(HUCMUOMBE TUNDA) Na Ukazdsha Kuonesha Upendo Kwake kwa namna nyngne Mpaka Mwakan Kama ALIVYOKUAHD
Hii c 2 Itakuaminisha Zaid Kwake Lkn Pia Itawapa mda Zaid Wa Kufahamiana Hvyo Kuimarisha Uhusiano Wenu
(Kama Kwel Unampenda Vumilia)
 
nina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.
huyo mpenz wako ana mtu mwingne anayeduu naye ndo maana hakutak wewe
 
Back
Top Bottom