Mpenzi ataki kusex

mmmh,maybe mimi mshamba jamani.kama ni mimi kuuliza jf ningeona vibaya.

bidada kisukari kuna siku hapa mito na cartura waliwah kuponda sana hoja ya mkaka mmoja aliileta hapa jf iko na maudhia kama haya. Binafsi naona vijana jamani tunatia aibu sana hivi nani asiyejua kwamba kufanya ngono kabla ni dhambi? pia siyo kitu kizuri? inamaana anataka sisi wana jf tukashiriki naye katika dhambi yake siyo? halafu raa apate yeye na kisha mimi nije nidaiwe damu yake siyo?

huu ni upumbavu sana wewe mkaka na tena usilete tena hapa upuuzi kama huu. siku akikupa utakuja tena hapa kutuomba uko naye kwa b/rum ila hujui umvueje nguo.
 
Last edited by a moderator:
huu ni upumbavu sana wewe mkaka na tena usilete tena hapa upuuzi kama huu. siku akikupa utakuja tena hapa kutuomba uko naye kwa b/rum ila hujui umvueje nguo.

mwl mbona umekuwa mkali hivyo bana? hivi assume by any chance uko room na kijana na unaona wazi kwamba he is fumbling and doesn't know where and how to start, huwezi kumsaidia?
 
she is right, respect it and giv her time ni wachache sana tuko hv hadi utishie bora tuachane...
 
Dini zote haziruhusu kusex kabla ya ndoa,hivyo basi nakushauri uwe mvumilivu mpaka utakapofunga ndoa!
 
nina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.
hivi wee Cubic boy ,kwani kupenda mpaka mnanhi ndo uamini kuwa anakupenda ? vumilia bana usiendekeze ngono
 
acha uzinzi . kama unampenda nenda kwao ujitambulishe,toa mali kisha funga ndoa
 
mwl mbona umekuwa mkali hivyo bana? hivi assume by any chance uko room na kijana na unaona wazi kwamba he is fumbling and doesn't know where and how to start, huwezi kumsaidia?

hapana kaka yangu cartura huyu kijana anataka kututuma wote tushiriki dhambi yake ya uasherati ama kwa kujua ama kwa kutokujua ndio maana nimekuwa mkali kwake. unajua humu jamvini huwa tunashiriki sana dhambi za uzinzi za wengine kwa kutokujua? sasa haoni kabisa kwamba ni kosa kuzini na binti yuko sahihi? je kashindwa hapo kumvua nguo ataweza? na hata kumuuliza nikuvueje pia hataweza
 
Last edited by a moderator:
imeandikwa.....
'ikimbieni zinaa....'

kwa hiyo shinda tamaa zako za kimwili...

Dunia imekwisha, watu wanahimizana kumuasi aliyewaumba, mbaya zaidi wanatafuta mpaka ushauri ni namna gani ya kumkufuru muumba wao.
Ikimbie zinaa, zinaa ni deni lenye gharama kubwa.
Kuoa tu ndo suluhisho, muogope mola wako.
 
Maandiko yanasema mtakuwa mwili mmoja mpaka KIFO KITAKAPOWATENGANISHA.

unamaanisha epididimys ndo itaziba ? dah sijawahi sikia hiyo ila ni ubwege kuamini hivyo asa Nzowa Godat huyo bidada wako mmengonoana kwa miaka 7 umeamua kumwoa au bado una taste na bucha nyingine manake haiwezekani all that long unamchomesha mahindi tu bidada wa watu bora umuoe ili mirija yako ya epididimys isijeziba kama unavyoamini .
 
Duu sex kitu muhimu sana kwa wapenzi, jitahidi uonje mpiko ili uchukue maamuzi magumu
 
je kashindwa hapo kumvua nguo ataweza? na hata kumuuliza nikuvueje pia hataweza

gfsonwin waswahili walisema 'kumuua kobe kunahitaji timing'.... kumsomesha mtu mpaka akakuvulia nguo yake ya ndani kunataka mahesabu... tatizo la vijana wa siku hizi wa facebook ni papara na kufikiri kwamba ukishamwambia binti 'i love you' basi chu^pi inashuka automatically
 
kwakauli yako ndugu yangu cartura bado the best man to marry in this world atabaki kuwa muhandisi tu. awe wa mechanical ama wa civil ama wa electronic yaani muhandisi yeyote huy ndo mwanaume mzuri kwangu mimi. manake kwao kila kitu kinapigiwa hesabu bana siyo wengine wanafikiri swanggaz tu basi. hapa najua Asprin na wenzie wataniponda sana. ila huo ndo ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Join Date : 24th July 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given1

Umeingia JF jana kwa ajili ya kuuliza taka taka hiyo?

Mod ondoa ushenzi wa huyo ndugu hewani.....Shame on U.

Acha ushamba..........kama huna cha kushauri piga kimya, akaulize wap sasa??!!think big.......
 
kwakauli yako ndugu yangu cartura bado the best man to marry in this world atabaki kuwa muhandisi tu. awe wa mechanical ama wa civil ama wa electronic yaani muhandisi yeyote huy ndo mwanaume mzuri kwangu mimi. manake kwao kila kitu kinapigiwa hesabu bana siyo wengine wanafikiri swanggaz tu basi. hapa najua Asprin na wenzie wataniponda sana. ila huo ndo ukweli.
Hahahaha.... FYI hapa anayeandika hii posti ni Mhandisi wa Mitambo... kwa kiinglishi ni Mechanical Engineer. Haya ukuje pande hii nikupigie mahesabu ya kukuhundumula kwa mdondoko wa Projectile Motion.
 
yaani muhandisi yeyote huy ndo mwanaume mzuri kwangu mimi. manake kwao kila kitu kinapigiwa hesabu bana siyo wengine wanafikiri swanggaz tu basi.

gfsonwin hii unapaswa kuisema polepole ili watu wasisikie maana ugomvi wake hautakuwa na mwamuzi... hakuna mwanaume in the whole wide world ambaye atakuwa comfortable kuona kidume mwingine akisifiwa
 
Last edited by a moderator:
kila siku thread ya kunyimwa unyumba lazima iwepo ,nadhani kuna haja mods kuziunganisha
 
kuwa mvumilivu mkuu, mwanamke hawez kukuvulia chu...p hv hv pana hitaj darasa la kutosha ili akuelewe. Mchukulie vile anavyotaka yy wala usiwe na haraka nae ukimfanyia haraka atakuzngua.
 
gfsonwin hii unapaswa kuisema polepole ili watu wasisikie maana ugomvi wake hautakuwa na mwamuzi... hakuna mwanaume in the whole wide world ambaye atakuwa comfortable kuona kidume mwingine akisifiwa

na ndo maana nilisema najua nitagombana na wengi tu ila miye mrs engineer najisifia kuwa naye na hata kama nikitaka kucheat sitotacheat na mtu yeyote zaid ya muhandisi aisee. hawa ndo wenyewe bana wataculculate hadi biomechanics wakati wa game chezeya hawa watu wewe.
 
Back
Top Bottom