Naomba sana mkuu...ghalani mwa Bwana naamini bdo wako wengi, sema ni vile hawajaingia tu humu JF, pasingetoshaOmba mungu upata wa mwisho, maana hao wengine woote...
1) Hawana sifa ya kuishi kindoa tofauti na nchi zao. Uko tayari kwenda kuishi alipo yeye?
2) Woote, washaolewa na mikataba ya hizo kazi. Uko tayari kuwa mume mdogo?

Nije wapi sasa?
Usinitilie maanani