Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,232
- 40,734
Acha naye atakuongezea stress tu mkuu
U said it allUkishaona mtu ameanza 'usipofanya hivi sifanyi hivi' hakuna mapenzi hapo, mwendawazimu mmoja tu huyo
Habari wana Jf. Mimi nina miaka 33 nina mtoto wa miaka miwili na nusu. Baba wa mtoto nilipozaa mtoto tuliendelea na mahusiano nilimsihi aende kwetu hakwenda nikaamua niachane nae kwa sababu niliona anadharau wazazi wangu kwa kutokwenda nyumbani. Mwaka huu katika mawasiliano na mpenzi wangu wa zamani tukaanza mahusiano ila anataka nibebe mimba ndio aende kwetu. Na nyumbani hawataki nibebe mimba kabla mtu hajaenda. Anasema nampa masharti wakati niliezaa nae sikumpa masharti ya kwenda kwetu kabla ya kunipa ujauzito. Naombeni Ushauri hapa kuna muoaji kweli au anataka alipize kisasi. Nahisi kuchanganyikiwa.
Subiri ukue mkuu....Upumbavu was sisi wa bongo baadhi ndo huu. Kasi kusambaza mayai hovyo Kama kunguni eti mapenzi ya kweli mpaka mimba pole dadangu mpendwa usikubali upumbavu Kama huo wa kutelekezwa kidzining.alafu wanaume mda mwingine tuwe na huruma na mbegu zetu tunazosambaza hovyo Kama kuku mwishowe mtoto wa watu akienda kutoa was Kwanza kumharibia sifa ni wewe hivi ungetegemea aleaje mtu mwenyewe pengine beki tatu aisee inaniumaga Sana hatua ya kujaga KUOA ndio umakini wangu tuuuu!!alafu mda mwingine mapenzi yasio ya ndoa tue makin nao
Kumbe wewe ndiye hutaki nipatiwe mtoto na huyo Kipenzi changu eeeh!...?Eehe kwa Huo umri naona unachanganyikiwa kabisaa...Ila usibebe aisee anaweza kukubebesha akakuacha huyoo!!
Ukweli mtupu, japo ni mchungu lakini ni bora sana kuuanika hapa ili uokoe madhara watayopatwa nayo Dada na Mama zetu wakithubutu kutenda hivi.Achana na huyo mwanaume. Atakuumiza tena.
Mwanamke kama ulimuacha mwanaume, kurudiana nae tena unatafta matatizo.
Utashika mimba yake alafu abaki kukuzodoa kua huna jipya ulikosa soko ndio maana umerudi kwake. Utapoteza thamani yako. Pamoja na hilo hakuna mwanaume anaekataa K zinazojileta zenyewe hata kama hakuhitaji tena.
Hapo hakuna muoaji.
Kwa nini unahofu kua anataka kulipa kisasi? Ulimfanyaje?
Huu ni ushauri wangu wa bure kwa wanawake. Ukimuacha mwanaume kwa sababu yoyote ile usirudiane nae, ukirudiana nae kwake unakua umekosa thamani, maana anakuona kama mtu uliekosa soko huko umerudi.
Habari wana Jf. Mimi nina miaka 33 nina mtoto wa miaka miwili na nusu. Baba wa mtoto nilipozaa mtoto tuliendelea na mahusiano nilimsihi aende kwetu hakwenda nikaamua niachane nae kwa sababu niliona anadharau wazazi wangu kwa kutokwenda nyumbani. Mwaka huu katika mawasiliano na mpenzi wangu wa zamani tukaanza mahusiano ila anataka nibebe mimba ndio aende kwetu. Na nyumbani hawataki nibebe mimba kabla mtu hajaenda. Anasema nampa masharti wakati niliezaa nae sikumpa masharti ya kwenda kwetu kabla ya kunipa ujauzito. Naombeni Ushauri hapa kuna muoaji kweli au anataka alipize kisasi. Nahisi kuchanganyikiwa.
Pole pole Mama, usiwaharibie Wanaume bahati zao maana wakati mwingine mapenzi ni upofu.Unamtoto huyo pili nini tena si ajabu tayari anamchumba kitendo cha wewe kubeba mimba tu utakuwa mwendo wa mateka, halafu kwanini wanawake wengine mnapenda kurudiaga matapishi? Ndiyo nyie mnaishiaga kundungwa mavifu ya usoni
Habari wana Jf. Mimi nina miaka 33 nina mtoto wa miaka miwili na nusu. Baba wa mtoto nilipozaa mtoto tuliendelea na mahusiano nilimsihi aende kwetu hakwenda nikaamua niachane nae kwa sababu niliona anadharau wazazi wangu kwa kutokwenda nyumbani. Mwaka huu katika mawasiliano na mpenzi wangu wa zamani tukaanza mahusiano ila anataka nibebe mimba ndio aende kwetu. Na nyumbani hawataki nibebe mimba kabla mtu hajaenda. Anasema nampa masharti wakati niliezaa nae sikumpa masharti ya kwenda kwetu kabla ya kunipa ujauzito. Naombeni Ushauri hapa kuna muoaji kweli au anataka alipize kisasi. Nahisi kuchanganyikiwa.
Ni ushauri tu baba [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio lazima kuupokea maana maamuzi yapo kwake na changamoto ni zakePole pole Mama, usiwaharibie Wanaume bahati zao maana wakati mwingine mapenzi ni upofu.