Mpenzi anataka nibebe mimba ndio aende kwetu

Mpenzi anataka nibebe mimba ndio aende kwetu

Mbebee uwe na mtoto wa pili baba tofauti anakuacha na kwenu haendi hivi sisi wanawake baadhi tumerogwa au

Una mtoto halafu unadanganywa ubebe mimba nyingine bila ndoa

Kingine muoaji hakuna hapo
 
Wanaume muwe na huruma. Vitu vingine assume ni dada yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom