ndio ushajua sasa!
piga chini fasta!
Sio kila kosa unaweza piga chini mtu, mengine waweza kumuonya na maisha yakaendelea, kumbuka huyu naye ni binadamu sio malaika, makosa yapo na yaweza kuwa hata na upande wa pili pia.
Mimi maeneo yangu ya asili tuna msemo kuwa "ng"ombe akinywa maji sehemu fulani huwa hawezi kusahau" hivyo huyu naye katika maelezo yake inaonesha huyu mpenzi wake alishakuwa na mahusiano na bwana mwingine before kitu ambacho now days you can say is normal to all (girls & boys), so anachotakiwa kufanya ni kumuweka sawa huyu mpenzi wake na kumweleza huo ukweli aliokwisha ujua juu ya mawasiliano na huyu X wake kwa msitakabali wa relation yao na ndoa kwa baadaye.
Ukisema piga chini fasta, utapiga wengi sana na mwisho wa siku utaona ni normal kupiga chini na then utachukia yeyote kwa kudhani ya kwamba wote ndivyo walivyo.